Kibonde na zitto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibonde na zitto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Iteitei Lya Kitee, Jun 14, 2011.

 1. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu Kibonde vp?Ni mzima kweli?Hapa anatumia nguvu nyiiingi kukosoa approach ya Zitto kwenye hili sakata la 'allowances".
  Is he paid to attack off?
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  yule wa kuliwa tu......hana jipya kabisa, anataka aiingie kwenye payrolll ya mafisadi...
   
 3. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  huyo jamaa nina wasiwasi na uwezo wake wa ki akili, yupo kibinafsi zaidi, hata sugu anamjua
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,414
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  na yeye si wakina wakina sisemimchanga wa pwani huoooooooooooo
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  haina haja ya kumlaumu, mbona siye tunatumia nguvu hiyohiyo kumuunga mkono?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ndio tatizo la chadema wengi.
  kila anaepinga wana mu attack....
  tena mtu kama kibonde ambae anajulikana wazi ni ccm
  sasa wa nini kutumia nguvu nyingi kum attack?????????

  common sense is not common kwa kweli..
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Hajawahi kuwa na uwezo huo,yule ni mcheza mnanda tu.Mtu wa kujipendekeza,hana jipya.
   
 8. L

  Lua JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu m2 ni wa kumuacha 2 coz kishalaaniwa na m/mungu.
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kula tano,
  Kunawatu humu wangekuwa na uwezo wangekuwa madikteta wabaya sana wanao penda kusikia yale wanayoyapenda tu.
  Njoo na hoja na sikulaumu kwa mtazamo wa mwenzako kwakuwa hukubaliani nao, we nani kakulaumu kumuunga mkono zitto?
  JF sikuhizi imekuaje watu ni kulia lia tuuu badala ya kuja na hoja.
  Kama Kibonde anakuboa nenda kasome tanzania daima lina yale unapenda kusikia
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,656
  Likes Received: 21,874
  Trophy Points: 280
  Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tena
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hana upeo wa kuchambua mambo (ana akili ya kuvalia suruali tu) nafikiri yeye aendelee na biashara yake ya u-MC wa kitchen party na matangazo ya pombe haya ya uchambuzi wa mambo ya kitaifa hawezi anajadili posho ambazo hajui hata wabunge wanapokea posho za aina ngapi.
   
 12. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu mpya wa mkoa wa....................
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Unataka uletewe Samansi nyumbani kwako? Clouds ni CCM Daima.
   
 14. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu kula tano na wewe
   
 15. P

  Paul S.S Verified User

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu unaishi dunia ipi wewe?
  Dhana ya uhuru wa kuongea na uhuru a vyombo vya habari uko wapi?
  Kama vipi we kasome tanzania daima na uwaambie watangaze kama ni pro cdm
   
 16. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kibonde yupo kwa ajili ya kuficha maovu ya mafisdi na kulinda chama tawala.
  clauz fm si radio huru tena baada ya mafisadi kujipenyeza na kufanikiwa kubadili mtizamo huru wa hiyo radio ambayo ilikuwa na mijada motomoto na huru. kwa udhibitisho zaidi kwa wanajf sikilizeni comments za watangazaji wa habari za magazeti , asubuhi saa1:50 kila siku.
   
 17. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  :a s 114:
   
 18. L

  LAT JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  vvvvv

  yaani nimecheka sana, avatar nzuri sana ila maana ya id yako kwa kichaga ndiyo sina mbavu
   
 19. Radical

  Radical JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 374
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Culdnt agree more, why is he always critisizing CDM side and praising CCM side! cant be a coincidence the formula for him is the same all the time, always!
   
 20. t

  tambarare Senior Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fungus wamefika kichwani jamani mbona hamsikiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...