Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tena
Kuna tatizo moja hapa ambalo naliona, ni kweli kibonde ANAPOTOSHA , uwezo wake wa kuchambua mambo ni mdogo, na hataki kukubali hilo! Wengi huwa wanalichukulia kirahisi rahisi kwamba kama hutaki kumsikiliza zima redio, lakini hiyo ni kwa wachache walioerevuka, vp kuhusu majority wanaotumia hiyo redio kama source yao ya habari ' ambao hatujaerevuka'!
Challenge kwa wanajamii vipi kama tuki report abuse kwa baraza la habari , maana sidhani kama claudi redio wamesaili kama ni redio yenye mlengo wa kisiasa!
umenichekesha sana. Hoja yako ina mantiki, pengine ni kweli usemayo nikiunganisha matukio yanayomhusu. Mi sura yake tu ndo huniboa, sijui namuonaje.Jamani huyu Kibonde si ni mwehu,kachanganyikiwa na ARV's anazokunywa,sasa siunajua watu wenye kale kaugonjwa wanakuwa wamekata tamaa ndio mana muda mwingine wana behave kama machizi vile.B'se they have nothing to loose.
Suala sio mtu kupinga au kuunga mkono, inategemea unapinga nini au unaunga mkono nini? Mtu anapookoa fedha za taifa weka uchama pembeni na utetee maslahi ya nchi yako. Nyie magamba sijui mmelishwa limbwata, hata wabunge wenu wanapoihujumu nchi yenu mnaona poa kwa kuwa move imeanzishwa na CDM.... Open your eyes ndugu, Kibonde anaishi mjini kiujanja ujanja na kumpinga Zitto ndo ujanja wenyewe wa kumfanya alipwe na wanaomtumia kama Condomu, si hata Hando naye anaponda, so ni sera ya redio yao kunogesha urafiki na M.k.w.e.rendio tatizo la chadema wengi.
kila anaepinga wana mu attack....
tena mtu kama kibonde ambae anajulikana wazi ni ccm
sasa wa nini kutumia nguvu nyingi kum attack?????????
common sense is not common kwa kweli..
Achana na kibonde, "o Level" ana D 2 zingine zote ana F. Sijui hata clouds wamemwajili kwa kigezo gani!