Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
Mtangazaj wa clouds fm Ephraim Kibonde leo jioni katika kipindi cha jahaz amemtetea Ngeleja kwa kauli yake ya kukashifu bajeti ya kambi ya upinzani na kuiita bajeti mbadala kitu ambacho Tundu Lissu alikikana na kujbu mapigo kwa kusema kutokana na kanuni za bunge hamna kitu kinachoitwa bajet mbadala na spika wa bunge kukubaliana na kauli ya Lissu.kibonde anasema maige anahak ya kuchangia alivyochangia ila kambi ya upinzani walishindwa kustahimili kaul ya maige.