Kibonde amtetea Ngeleja

Kibonde amtetea Ngeleja

Mtoa mada umenichanganya kwa majina mawili tofauti Ngeleja na Maige nadhani ulimaanisha Ngeleja.Ngeleja=Hongo=Kibonde
 
Hii kec nene,jamani kumbukeni yy ni binadam anamapungufufu km tulanayo cc mhm 2kikerana 2sameheane,safari hatujafika kuwiana radhi ni muhim kbl hatujafika kwa sir GOD.
 
samahani kwa watu wafupi ila kiukweli watu wafupi wanamatatizo sana kwaio sina haja ya kumshangaa kibonde

Nahofia kuwa utakuwa umeanzisha mada nyingine hapo.tusubiri
 
Huyo jamaa ni kinega mimi sisikilizi kabisa hiyo radio ya vinega na hiyo ndiyo sera ya clouds.
 
Back
Top Bottom