Kibomu

Kibomu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421653997399.jpg
 
mbaya iwe desa halina jibu hata moja...
 
Kuna dada nilisoma nae primary, yeye alikua anabeba madaftari ya dada zake kuanzia Kiswahili masomo yote mpaka hesabu.
 
Badala ya kufaulu, waweza jikuta unafeli kabisa kwani hata unayoyajua huwezi kuyakumbuka!
 
Badala ya kufaulu, waweza jikuta unafeli kabisa kwani hata unayoyajua huwezi kuyakumbuka!

Weee watu wa hivyo mafundi wanajua wenyewe wanavyobalansi...asiye mzoefu anasahau kweli
 
Hahahahaaaa angafaulu ningeshangaa mno kwakweli si ajabu saivi ni mama wa nyumbani kwa vyovyote vile

Ndugu yangu usicheze na pesa,anatoka kwenye familia ya mboga 7. Alimaliza form IV na sasa ni traffic police.
 
Back
Top Bottom