KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Jul 30, 2012 #1 Chizi mmoja alikuwa anakatiza mtaani, jamaa kumwona akamuuliza wewe siulikuwa milembe? Chizi akamjibu "Ndio nipo milembe day siyo bording"
Chizi mmoja alikuwa anakatiza mtaani, jamaa kumwona akamuuliza wewe siulikuwa milembe? Chizi akamjibu "Ndio nipo milembe day siyo bording"
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,812 Jul 30, 2012 #2 KARIA mzima wewe?? mi mith u kha! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Jul 30, 2012 Thread starter #3 cacico said: KARIA mzima wewe?? mi mith u kha! Click to expand... Mashaallah sijambo mno sijui weye uliye mbali mno na mboni za macho yangu! Nijaalie yako hali ili mtima wangu upate tulia?
cacico said: KARIA mzima wewe?? mi mith u kha! Click to expand... Mashaallah sijambo mno sijui weye uliye mbali mno na mboni za macho yangu! Nijaalie yako hali ili mtima wangu upate tulia?
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jul 30, 2012 #4 u make me laugh KARIA Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Jul 30, 2012 #5 Hahahahahaha
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Jul 30, 2012 #6 kweli kwenye kuandika hakunaga mdomo zege. KARIA said: Mashaallah sijambo mno sijui weye uliye mbali mno na mboni za macho yangu! Nijaalie yako hali ili mtima wangu upate tulia? Click to expand...
kweli kwenye kuandika hakunaga mdomo zege. KARIA said: Mashaallah sijambo mno sijui weye uliye mbali mno na mboni za macho yangu! Nijaalie yako hali ili mtima wangu upate tulia? Click to expand...
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Jul 30, 2012 #7 na ndo kisifa cha kuwa chizi. KARIA said: Chizi mmoja alikuwa anakatiza mtaani, jamaa kumwona akamuuliza wewe siulikuwa milembe? Chizi akamjibu "Ndio nipo milembe day siyo bording" Click to expand...
na ndo kisifa cha kuwa chizi. KARIA said: Chizi mmoja alikuwa anakatiza mtaani, jamaa kumwona akamuuliza wewe siulikuwa milembe? Chizi akamjibu "Ndio nipo milembe day siyo bording" Click to expand...