Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
View attachment 104050
Jamaa anatisha kwa maujanja...
kwani tairi zikiwa mpya ndio sababu ya kukufanya uache spea tairi? Endelea utaona faida yake.na mimi nitaanza kutembea na spare tairi huwa nasahau kwakuwa tairi ni mpya.
Na mimi nitaanza kutembea na spare tairi huwa nasahau kwakuwa tairi ni mpya.
Tairi si linakaa kwenye trunk. ..vipi wewe unaiacha nyumbani