Kiboko ya Wanyama Wote

Kiboko ya Wanyama Wote

AJIRA NGUMU!!
Jamaa mmoJa alienda kuomba kazi kwenye "ZOO".
Akaambiwa nafasi ya kazi ipo ila hakuna Sokwe.
"Hivyo utaJifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja Watalii mambo yalienda vizuri.
Siku iliyofuata banda lake liliwekwa kwa juu ya banda la Simba.
Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka.
Kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya banda la Simba.
Akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"
Mara yule Simba akamwambia
"Acha ufala wewe kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadam!
Rudi kwenye banda lako kabla Watalii hawajaja watatushtukia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom