Kiboko ya Lowassa Afariki Dunia

Kiboko ya Lowassa Afariki Dunia

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
MKUU wa Wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, Serenge Mrenge, amefariki nchini India alikokuwa akitibiwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Kifo cha mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela kimetokea juzi nchini India ambapo alikuwa akitibiwa ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimtatiza kwa kipindi kirefu sasa.
Akithibitisha jana kifo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro, aliiambia Tanzania Daima: “DC Mrenge amefariki jana (juzi), nchini India, alikokuwa akipatiwa huduma za kitabibu za ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimsumbua.”
RC Kandoro alisema mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela alipelekwa nje ya nchi zaidi ya wiki tatu zilizopita, baada ya Hospitali ya Rufaa ya Bugando ya jijini Mwanza, kushindwa kumtibu na kutoa kibali cha kupelekwa nchini India kwa matibabu ya tumbo ambapo mauti yamemkua huko.
Kifo cha mkuu huyo wa wilaya kimekuja miezi michache baada ya mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Creophat Rugarabamu, kufariki nchini India alikopelekwa kwa matibabu ya shinikizo la damu.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza, mwili wa marehemu Mrenge atasafirishwa kutoka nchini India na kufika katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es Salaam siku ya kesho Jumapili na baadaye kusafirishwa hadi nyumbani kwao jijini Tanga kwa ajili ya mazishi.
“Mwili wa marehemu Mrenge utafika Dar es Salaam Jumapili wiki hii ukitokea India...na baada ya hapo shughuli za kiserikali za kumsafirisha hadi Tanga nyumbani kwao zitafanyika. Mungu alitwaa na Mungu ametoa...Amina,” alisema Kandoro akionekana kugubikwa na majonzi.
Awali ilielezwa kwamba Mrenge alipelekwa nchini India akisumbuliwa na ugonjwa wa figo, huku taarifa nyingine zikidai anasumbuliwa na shinikizo la damu.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu Serenge Mrenge, Amina.
 
DC Ilemela afariki

na Sitta Tumma, Mwanza

MKUU wa Wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, Serenge Mrenge, amefariki nchini India alikokuwa akitibiwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

Kifo cha mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela kimetokea juzi nchini India ambapo alikuwa akitibiwa ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimtatiza kwa kipindi kirefu sasa.

Akithibitisha jana kifo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro, aliiambia Tanzania Daima: "DC Mrenge amefariki jana (juzi), nchini India, alikokuwa akipatiwa huduma za kitabibu za ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimsumbua."

RC Kandoro alisema mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela alipelekwa nje ya nchi zaidi ya wiki tatu zilizopita, baada ya Hospitali ya Rufaa ya Bugando ya jijini Mwanza, kushindwa kumtibu na kutoa kibali cha kupelekwa nchini India kwa matibabu ya tumbo ambapo mauti yamemkua huko.

Kifo cha mkuu huyo wa wilaya kimekuja miezi michache baada ya mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Creophat Rugarabamu, kufariki nchini India alikopelekwa kwa matibabu ya shinikizo la damu.

Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza, mwili wa marehemu Mrenge atasafirishwa kutoka nchini India na kufika katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es Salaam siku ya kesho Jumapili na baadaye kusafirishwa hadi nyumbani kwao jijini Tanga kwa ajili ya mazishi.

"Mwili wa marehemu Mrenge utafika Dar es Salaam Jumapili wiki hii ukitokea India...na baada ya hapo shughuli za kiserikali za kumsafirisha hadi Tanga nyumbani kwao zitafanyika. Mungu alitwaa na Mungu ametoa...Amina," alisema Kandoro akionekana kugubikwa na majonzi.

Awali ilielezwa kwamba Mrenge alipelekwa nchini India akisumbuliwa na ugonjwa wa figo, huku taarifa nyingine zikidai anasumbuliwa na shinikizo la damu.

Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu Serenge Mrenge, Amina.

Source:Mtanzania Daima
 
Poleni wafiwa. Lakini hiyo ya kuwa na taarifa tofauti ya ugonjwa inakuwaje tena!
 
Lakini,............ Hivi ni kwa nini wanasiasa wote lazima wapelekwe india kwa matibabu?............. tena utakuta maradhi yenyewe ya kawaida tu............... Any way huu ni msiba, tusizame kwenye kuhoji mambo ya gharama za kuuguza nje ya nchi na kusafirishia maiti............ After all TZ kwa sasa inaendeshwa kama haina mwenyewe vile........... Ukizungumza haya waweza kuitwa mhaini ............. Unachochea vurugu nchi isitawalike....................

Rip mh. Na poleni wafiwa wote..........
 
Poleni wafiwa,lakini c wakati anapelekwa india babu wa loliondo alishaanza tiba?au dharau?
 
kwa babu angekubali/serikali ingekubali kufuata mstari/foleni?
Pia nahisi ni kupuuza .
 
Poleni wafiwa.
Lakini mbona wakuu wa wilaya za Mwanza ambako CCM ilipoteza kwenye Ubunge (Nyamagana na Ilemela) ndio wakuu wake wa Wilaya wamekufa? Kunani?
 
Kupunguza gharama viongoz wote wakiumwa waache zarau waende loliondo Tsh 500 tu. Mkuu wa mkoa wa Mara aliumwa akaenda kwa babu loliondo sasa hv afya yake ipo ngangari huyu mkuu wa wilaya ameenda india akiwa hai karud no uhai, RIP BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
 
mkuu wa wilaya ya ilemela jijini mwanza, serenge mrenge, amefariki nchini india alikokuwa akitibiwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Kifo cha mkuu huyo wa wilaya ya ilemela kimetokea juzi nchini india ambapo alikuwa akitibiwa ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimtatiza kwa kipindi kirefu sasa.
Akithibitisha jana kifo hicho, mkuu wa mkoa wa mwanza, abbas kandoro, aliiambia tanzania daima: “dc mrenge amefariki jana (juzi), nchini india, alikokuwa akipatiwa huduma za kitabibu za ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimsumbua.”
rc kandoro alisema mkuu huyo wa wilaya ya ilemela alipelekwa nje ya nchi zaidi ya wiki tatu zilizopita, baada ya hospitali ya rufaa ya bugando ya jijini mwanza, kushindwa kumtibu na kutoa kibali cha kupelekwa nchini india kwa matibabu ya tumbo ambapo mauti yamemkua huko.
Kifo cha mkuu huyo wa wilaya kimekuja miezi michache baada ya mkuu wa wilaya ya nyamagana jijini mwanza, creophat rugarabamu, kufariki nchini india alikopelekwa kwa matibabu ya shinikizo la damu.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa mwanza, mwili wa marehemu mrenge atasafirishwa kutoka nchini india na kufika katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini dar es salaam siku ya kesho jumapili na baadaye kusafirishwa hadi nyumbani kwao jijini tanga kwa ajili ya mazishi.
“mwili wa marehemu mrenge utafika dar es salaam jumapili wiki hii ukitokea india...na baada ya hapo shughuli za kiserikali za kumsafirisha hadi tanga nyumbani kwao zitafanyika. Mungu alitwaa na mungu ametoa...amina,” alisema kandoro akionekana kugubikwa na majonzi.
Awali ilielezwa kwamba mrenge alipelekwa nchini india akisumbuliwa na ugonjwa wa figo, huku taarifa nyingine zikidai anasumbuliwa na shinikizo la damu.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu serenge mrenge, amina.
may he rest in peace!
 
rip mkuu wa wilaya
MKUU wa Wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, Serenge Mrenge, amefariki nchini India alikokuwa akitibiwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Kifo cha mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela kimetokea juzi nchini India ambapo alikuwa akitibiwa ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimtatiza kwa kipindi kirefu sasa.
Akithibitisha jana kifo hicho, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro, aliiambia Tanzania Daima: "DC Mrenge amefariki jana (juzi), nchini India, alikokuwa akipatiwa huduma za kitabibu za ugonjwa wa tumbo uliokuwa ukimsumbua."
RC Kandoro alisema mkuu huyo wa wilaya ya Ilemela alipelekwa nje ya nchi zaidi ya wiki tatu zilizopita, baada ya Hospitali ya Rufaa ya Bugando ya jijini Mwanza, kushindwa kumtibu na kutoa kibali cha kupelekwa nchini India kwa matibabu ya tumbo ambapo mauti yamemkua huko.
Kifo cha mkuu huyo wa wilaya kimekuja miezi michache baada ya mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Creophat Rugarabamu, kufariki nchini India alikopelekwa kwa matibabu ya shinikizo la damu.
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Mwanza, mwili wa marehemu Mrenge atasafirishwa kutoka nchini India na kufika katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es Salaam siku ya kesho Jumapili na baadaye kusafirishwa hadi nyumbani kwao jijini Tanga kwa ajili ya mazishi.
"Mwili wa marehemu Mrenge utafika Dar es Salaam Jumapili wiki hii ukitokea India...na baada ya hapo shughuli za kiserikali za kumsafirisha hadi Tanga nyumbani kwao zitafanyika. Mungu alitwaa na Mungu ametoa...Amina," alisema Kandoro akionekana kugubikwa na majonzi.
Awali ilielezwa kwamba Mrenge alipelekwa nchini India akisumbuliwa na ugonjwa wa figo, huku taarifa nyingine zikidai anasumbuliwa na shinikizo la damu.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu Serenge Mrenge, Amina.
 
RIP mh.......hivi angewahi kwa babu si angepona jamani au kwa vile tunaamini kila kifo ni Mungu ndio anapanga?.
 
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo amefariki Dunia.
Source; Habari Leo:hug:
 
Nafikiri Muhimbili wangeweza kumtibu.Ndiyo hypocricy ya hawa elites wa SISIEM na Serikali.
 
Bibikuku,

Kama kumbukumbu zangu zinanipa vizuri kauli hiyo ilitolewa na Col Madaha aliyekuwa DC wa Nymagana wakati huo. Siyo Serenge(RIP).

Pengine mwenye uhakika 100% atusaidie.
 
Bibikuku,

Kama kumbukumbu zangu zinanipa vizuri kauli hiyo ilitolewa na Col Madaha aliyekuwa DC wa Nymagana wakati huo. Siyo Serenge(RIP).

Pengine mwenye uhakika 100% atusaidie.

Yah. Aliyepambana na Lowasa pale chuo cha benki kuu mwanza ni Kanali Madaha.
 
Bibikuku,

Kama kumbukumbu zangu zinanipa vizuri kauli hiyo ilitolewa na Col Madaha aliyekuwa DC wa Nymagana wakati huo. Siyo Serenge(RIP).

Pengine mwenye uhakika 100% atusaidie.
jamaa kakurupuka tuu
 
owassa blasts District Commissioner

JOHN KULEKANA, Mwanza
Daily News; Friday,September 28, 2007 @00:02

THE Prime Minister, Mr Edward Lowassa, yesterday rejected the Nyamagana District development report, saying it had false information.

"This is the worst report I have ever seen since becoming Prime Minister. It is a shame and in my opinion there is no leadership here," Mr Lowassa told the District Commissioner, Mr Peter Madaha.

The prime minister is on a week-long tour of Mwanza region. The premier disagreed with the report on secondary school progress in the district. Pressed, the DC disowned the report saying education officials had misled him.

The DC again told the prime minister that there was no cultivation of cotton in the district. However, officials from the agricultural department had told the premier that cotton is cultivated in two wards.

"You are wasting my time by coming with this embarrassing report which you are disagreeing amongst yourselves," Mr Lowassa said angrily, adding: "it appears that you are not working collectively."

"I'm very sorry Mr Prime Minister; it is a problem of my experts who came up with this misleading report. I'm a good leader with 24 years experience as a district commissioner but I repeat that I'm very sorry," Mr Madaha said.
Source: Daily News/HomeNews.
 
Back
Top Bottom