Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Hii habari ya wabunge wa Bunge la Ulaya (EU) kuzuiwa kuingia Ngorongoro saa 24 kabla ya ziara yao ya kukagua Haki za kibinadamu za jamii ya Wamaasai hakika haitatuacha salama.
Sijui akili za viongozi wa nchi hii zinamilikiwa na nani, kila leo misaada tunakimbilia huko lakini wakitaka kujua tunajiendeshaje katika haki za binadamu tunaficha.
Bomu la Ngorongoro litalipuka soon na kila kitu hadharani.