Kibo Complex ndiyo shopping center bora kuliko zote Dar es Salaam

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,896
Nikiri kuwa sijatembelea shopping center nyingi ila kuna vigezo ambavyo nimevizingatia hadi kuja na tamko hili kuwa Kibo Complex ndiyo shopping center bora zaidi Dar es Salaam.

1. Utulivu - Ni sehemu ambayo haijazubaa lakini wakati huo haijachangamka kupita kiasi. Kwa watu kama mimi ni PERFECT kabisa.

2. Usafi. Kuanzia mazingira ya nje, ndani, vyooni, sehemu zote ni kusafi mno muda wote.

3. Usalama. Kwanza hakuna usumbufu wa walinzi ambao unaweza kukutana nao sehemu nyingi za aina hii. Hakuna mambo ya kuulizana unakwenda wapi, kusachiana. Unaingia kwa amani, unafanya shughuli zako unaondoka bila mtu yoyote kukubughudhi.

4. Huduma. Sina uhakika kama hii ni makusudi au imetokea tu kwa bahati. Wanajitajidi kuweka huduma zinazotofautiana. Hii inasaidia wapangaji wao kutokuwa na ushindani sana wao kwa wao lakini inatusaidia hata sisi kupata huduma nyingi zaidi.

Kuna shopping center gani mnaona inaweza kushindana na Kibo kwa vigezo hivi?
 
Ukitaka kujua kama mama yako anajua kupika vizuri au laah, tembelea pia familia zingine..... le profeseri Palamagamba Kabudi.
 
Nikiri kuwa sijatembelea shopping center nyingi ila kuna vigezo ambavyo nimevizingatia hadi kuja na tamko hili kuwa Kibo Complex ndiyo shopping center bora zaidi Dar es Salaam.

1. Utulivu - Ni sehemu ambayo haijazubaa lakini wakati huo haijachangamka kupita kiasi. Kwa watu kama mimi ni PERFECT kabisa.

2. Usafi. Kuanzia mazingira ya nje, ndani, vyooni, sehemu zote ni kusafi mno muda wote.

3. Usalama. Kwanza hakuna usumbufu wa walinzi ambao unaweza kukutana nao sehemu nyingi za aina hii. Hakuna mambo ya kuulizana unakwenda wapi, kusachiana. Unaingia kwa amani, unafanya shughuli zako unaondoka bila mtu yoyote kukubughudhi.

4. Huduma. Sina uhakika kama hii ni makusudi au imetokea tu kwa bahati. Wanajitajidi kuweka huduma zinazotofautiana. Hii inasaidia wapangaji wao kutokuwa na ushindani sana wao kwa wao lakini inatusaidia hata sisi kupata huduma nyingi zaidi.

Kuna shopping center gani mnaona inaweza kushindana na Kibo kwa vigezo hivi?
Unajua shopping center ngapi hapo DSM?
 
Bila pic sisi wa mkoani atukielewi unaongelea jengo gani likoje ili na sisi tukupe uzur wa majengo yetu
 
Ukipewa pesa kufanya tangazo uwe unaelezea na iyo kibo ipo wapi ili kuleta urahisi wa sisi unaotutangazia tujionee pia...

Wengine sio wana dalisalama... Tunakuja kutalii tu na kuondoka.

Siyo tangazo mkuu na hakuna aliyenilipa kuleta hii mada. Nimekosea tu jinsi nilivyoiwasilisha. Sidhani kama wamiliki wa Kibo wanatafuta wapangaji kupitia JF.
 
Back
Top Bottom