666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,025
Sasa viwanja vimeshuka bei ya kutupwa yaani ukiwa na laki tano tu unapata bonge la kiwanja na tena unaweza kujipimia mwenyewe uanzie wapi mpaka wapi kwa laki tano.
Maji yanapatikana vizuri tu yaani 24/7, vile vile kuna mashule ya kufa mtu yaan mengi sanaa ni wewe na ada za wanao tu.
Umeme haukatiki sanaa, na ikifika usiku watu wametulia ndani freshi kabisaa yaani unaanika nguo vizuri af kesho yake unazikuta tu zimelala nje safi.
Asikwambie mtu kitu kibiti raha sanaa waungwana.

sijui