Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

iweje polisi wasijeruhiwe? hapo hakukuwa na mapambano bali waliwakamata wakawapeleka porini na kuwaua kisha wakazuga kuwa yalikuwa mapambano ya Nusu saa tu tena gizani? Wametengeneza sinema pasipo kutafakari kuwa watanzania wameamka uwezo kutambua mbinu zao,
Mkuu kuna kauli pale nadhani wengi hawaizingatia. Kasema ".. tunaendelea vizuri na oparesheni yetu ambayoinashirikisha vyombovingine vya ulinzi na Usalama.." hivyo usishangae walikuwepo special unit au hadi makomando wa JWTZ ambao wana weledi/ueledi mkubwa wa kupigana porini na gizani. Ukiona askari hawaja jeruhiwa inabidi uwapongeze askari na sio kuanza kutuhumu mambo negative, unawakatisha tamaa wanaojitoa roho zao kutulinda raia na kuilinda nchi yetu.
 
Ukianza kuwarushia risasi polisi wewe utakua ni mtu wa amani kweli na hali kama ya kibiti. Hata kama tunawachukia mapolisi lakini tujaribu pia kuwa wakweli.
Suala linaanza kwenye kuiamini taarifa ya polisi,je ni kweli?Inawezekana vp watu wanne wajeruhiwe halafu wote wafe wakiwa njiani kupelekwa hospitali???Wote wanne hakuna hata mmoja aliyefika hospitali anapumua!!!!!
 
Mkuu kuna kauli pale nadhani wengi hawaizingatia. Kasema ".. tunaendelea vizuri na oparesheni yetu ambayoinashirikisha vyombovingine vya ulinzi na Usalama.." hivyo usishangae walikuwepo special unit au hadi makomando wa JWTZ ambao wana weledi/ueledi mkubwa wa kupigana porini na gizani. Ukiona askari hawaja jeruhiwa inabidi uwapongeze askari na sio kuanza kutuhumu mambo negative, unawakatisha tamaa wanaojitoa roho zao kutulinda raia na kuilinda nchi yetu.
Umewaza ninachokiwaza hata police waliopo huko cio lelemama ni wenye ueledi wa hali ya juu na hili suala linatishia usalama wa nchi cio police tu kunavyombo vingine vakiusalama vinahusika pia
 
Kwa wabobezi wa masuala ya kiintelejensia lazima washauri jeshi la polisi waweke miili ya hao wahalifu walau tukawatambue na hiyo itakuwa ni njia nzuri ya kujua hawa wahalifu marafiki zao na hata ndugu zao.

Kamanda weka hata masaa manne tu kesho tuje tufanye utambuzi itasaidia sana jeshi la polisi kujua background nna taarifa nyingine muhimu.
 
Wanaodhaniwa!!!!!!kuna shaka hapa! Walikuwa wapi, wanafanyaje, wamekutwa Na nini !!!
UPUMBAVU MWINGINE MUWE MNAUACHA WEWE UNAONA POLISI UNAKIMBIZWA KWA LIP? WAKATI UKO ENEO LA UHALIFU WA 99%? WAMEKUTWA NA NINI JIBU BUNDUK 2 SMG NA RISAS 17 HAYA SEMA TENA BADO HAO NI RAIA WEMA BUNDUKI ZA KIVITA ZINAMILIKWA NA RAIA?
 
Mkuu kuna kauli pale nadhani wengi hawaizingatia. Kasema ".. tunaendelea vizuri na oparesheni yetu ambayoinashirikisha vyombovingine vya ulinzi na Usalama.." hivyo usishangae walikuwepo special unit au hadi makomando wa JWTZ ambao wana weledi/ueledi mkubwa wa kupigana porini na gizani. Ukiona askari hawaja jeruhiwa inabidi uwapongeze askari na sio kuanza kutuhumu mambo negative, unawakatisha tamaa wanaojitoa roho zao kutulinda raia na kuilinda nchi yetu.
jwtz komandoo wasingewaua wangewateka kininja live na kuwanyang'anya silaha kisha wahojiwe vizuri Ukweli ujulikane, nina imani hapo walienda Asikari waoga na watakuwa waliwakata hai wakaamua kuwaua wenyewe kisha wamezuga kuwa ni mapambano ya nusu saa bila kuongezeka dk kwa kweli kuna Sinema hapo hilo tukio ni la kutengeneza yapaswa lichunguzwe kwa undani zaidi.
 
Watanzania muda mwigine tutumie akili kidogo..
Taarifa imeandikwa 'watu wanaodhaniwa' kwa sababu hawajafikishwa mahakamani
Lakini kitendo cha wao kurushiana risasi na polisi basi ni haki yao kufa.
Na mpaka hapo polisi hawana kosa lolote maana ni selfdefence .

HATA ADHABU YA WAO KUFA NAONA NI NDOGO WANGEBANIKWA WAKIWA HAI MBWA HAO
 
UPUMBAVU MWINGINE MUWE MNAUACHA WEWE UNAONA POLISI UNAKIMBIZWA KWA LIP? WAKATI UKO ENEO LA UHALIFU WA 99%? WAMEKUTWA NA NINI JIBU BUNDUK 2 SMG NA RISAS 17 HAYA SEMA TENA BADO HAO NI RAIA WEMA BUNDUKI ZA KIVITA ZINAMILIKWA NA RAIA?
binduki ni zao polisi wamewabambikia tu hilo tukio lemejaa sitofahamu yafaa lichunguzwe kwa undani zaidi
 
jwtz komandoo wasingewaua wangewateka kininja live na kuwanyang'anya silaha kisha wahojiwe vizuri Ukweli ujulikane, nina imani hapo walienda Asikari waoga na watakuwa waliwakata hai wakaamua kuwaua wenyewe kisha wamezuga kuwa ni mapambano ya nusu saa bila kuongezeka dk kwa kweli kuna Sinema hapo hilo tukio ni la kutengeneza yapaswa lichunguzwe kwa undani zaidi.
ANGALAU UNGEKUWA UNA ELMU HATA YA MGAMBO USINGEANDIKA UPUUZ HUU, MTU HATEKWI KWENYE AMBUSH ACHA UJINGA WEWE, AMBUSH NI AMA ZAKO AMA ZANGU HAKUNA HAKI WALA SHERIA HAPO.
 
Na jeshi letu lijifunze kusitiri miili ya askari wake pindi wanapopatwa na maafa kama wanavyofanya kwa majambazi kwamba miili yao haionyeshwi ovyo ovyo, nilisikitika jinsi picha za askari zilivyosambaa wakigalagazwa kwenye pick up nyuma
 
Back
Top Bottom