Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

Mtu akimbilie kichakani alafu wewe umfuate kichakani/ubaki barabarani alafu wewe ndio umue kwa risasi mtu aliejificha kichakani tena bila wewe kudhurika huku ikiwa ni mida usiku!!!!

Au waliwau wakati wanakimbilia kichakani?Inawezekana kweli katika mazingira ya giza?!

kama waliwau wakati wanakimbilia kichakani,ndio kuwe na mapambano ya muda wa zaidi ya nusa saa?

Kama ni kweli, basi hao labda ni vibaka lakini sio hawa jamaa wanaouwaa kwa style hii tunayoisikia.
yani hapa hata Mimi najiuliza!!!kweli hapa wanatupiga usanii
 
Kama walikua RAIA wema unafikili ni kwanini walianza wao kuwalushia askali risasi?
Kwa askari aliye uwanja wa mapambano lazima ajihami. Tuachane na watu wenye fikra mgando wanao furahia mauaji ya watu wasio na hatia bila sababu ya msingi. Nafikiri Jeshi la polisi lipongezwe kwa kazi nzuri badala ya kubezwa
 
Wawili wamepotelea wapi Jamani kama walikuwa sita daaaah.

Hao wawili nao wadakwe haraka ili mambo yawe salama huko wilaya za mkoa wa pwani.

Hongera sana na kila la kheri Kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

Uhuru na Umoja wa nchi yetu Tanzania udumu.
 
Jesus???!! Kwahiyo ulikuwa unataka wajiselfie kama bongo movie wakati wanarushiana risasi???? Did u seriously wanted to post this au imejipost kwa bahati mbaya mkuu??? ...

Hebu tumia akili ,kila kitu pima pande mbili maana naona shobo zimekujaaa mabunduki tumezoe kuonyeshwa tangu enzi za kova ,kama wamezitoa stoo we uaaminije? How come majeruhi wote wanne wafe ? Naomba usinitag tena na majibu yako ya kipuuzi
 
mmmnh naona picha imegeuka,sio askari tena wanauawa bali raia,

mkuu Mwigulu,kitendo cha askari wako kuuawa,sio reason wewe kujitwalia justification ya kuua wananchi,

au umeona cheo chako kiko hatarini,and you don't care,who goes down with you?:(:(
 
Wanaodhaniwa!!!!!!kuna shaka hapa! Walikuwa wapi, wanafanyaje, wamekutwa Na nini !!!
mbona mwandishi anasema kundi la watu hawa walipowaona polisi walikimbilia vichakani na kuanza kurusha risasi, tena amemnukuu kamanda wa polisi kwamba katika tukio hilo wamekamata SMG na magazine na risasi kumi na saba!! Je, hawa watu kweli wanadhaniwa?!!, au mwandishi kakosea heading..
 
Sasa mkuu unadhani watu kama hao wanakubali kukamatwa wakiwa hai? Na umesikia jamaa walianza kurusha risasi. Hata S.W.A.T na FBI huwa wanawauwa watuhumiwa hasa kama ni cop killers.

King mswat kaingiaje tena hapa?


Na washawasha!
 
Back
Top Bottom