Kibibi kizee akutwa ndani ya nyumba Dodoma-airport

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kwa walioangalia tbc tunaamini kweli haya mambo hatari
kibibi kizee mmoja akadiriae na miaka 60-65 amekutwa kwenye nyumba ya bwana mmoja aitwae salum pale dodoma -airport,wakimwonyesha bibi yule huku akihojiwa kwa kigogo bibi alisema wao wamekuwa wakizunguka na kuingia kwenye nyumba nyingi hapo airport lakini walipokuja kwenye hii mwenzake aliona moto mapema mi nkachelewa,wakamuuliza ulionaje aksema humu ndani kuna nguvu za ajabu zilizonishinda nikabakia sebuleni;
wakiongea na mwenye nyumba alisema yeye hana kitu cha uchawi labda muwaulize wapangaji wangu;mi mwenyewe sijui kilichotokea;
baadae bibi yule walimpeleka polisi kwa maelezo zaidi;
swali langu mtu kama huyu mahakamani awaamini uchawi anapelekwa kwa kosa gani jamani??
 
tresspass into private property
 
Uchawi upo! Watampeleka kwa kosa la uchawi..Inabidi jamii iangalie jinsi ya kusolve matatizo ya aina hii kwa kuweka sheria dhidi ya wachawi.. Kwa kweli hii ni kaaaaaaaaaazi kweli kweli..
 
Ipo Sheria ya Uchawi ya Mwaka 1928, sura ya 18 ya Sheria za Tanzania (chapisho lililodurusiwa 2002 (The Witchcraft Act)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom