Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

HAKIMU: Upande wa Jamhuri mmebakiza mashahidi wangapi?

JAMHURI: Mashahidi 10 Mheshimiwa.

HAKIMU: Kama mashahidi wenyewe ni kama huyu, nashauri mulete watatu watatu.

MAHAKAMA: (Kicheko).

HAKIMU: Namaanisha kama watatoa ushahidi mfupi kama huyu basi waje watatu watatu ili tumalize haraka.

JAMHURI: Sawa Mheshimiwa.

HAKIMU: Kesi imeahirishwa
🤣🤣🤣🤣🤣.... Dah
 
Ah pengine ndio shahidi mwenyewe😀🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Naye ni polisi na ni shahidi, ni yule kikojozi wa kesi ya Mbowe aliyekuwa anaenda chooni na simu ili apewe maelekezo.
Tutamjulisha Kibatala kuwa yule shahidi simpelelezi kama alivyosema ili mahakama imchukulie hatua kwa kuidanganya.
 
Kiburi kikubwa sana(kina msukumo nyuma yake), hapo anaposema anataka kumuelekeza wakili taratibu zao za KAZI, means wanajua kabisa hua wanafanya kinyume na utaratibu wo wa kazi unaorandana na maswali anayoulizwa....
 
Ndiyo maana ccm wanajivunia kuwamiliki hawa viumbe adimu duniani! Yaani mtu anaajiriwa na elimu ya form IV! Tena ni ile inayokaribiana na division 0!

Anahojiwa mahakamani na wakili, anajibu madudu tu.
Halafu wanatumwa kuwadhibiti wasomi
 
Back
Top Bottom