Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

Yaani apambane na mawakili kumi na tano alaf akiogope kiburudisho cha Lumumba ambacho hakijafaulu mitihan ya law school?What a foolish fool
Wanakaponza katoto ka watu kaje kabanwe kajikojolee bure siku kakija.
Ngoja nim pm Kibatala akashughulikie bila huruma kwani Lumumba wanamkejeli huku
 
Ndivyo ulivyotumwa na Polepole kuandika hizi kamasi? Kibatala anayemjambisha mwanasheria mkuu wa serikali aje akaogope hako katoto kalichopata degree kwa kutoa ch***?
Siyo vizuri kudhalilisha wanawake/ watoto wakike kwa kuamini kuwa hawawezi kupata mafanikio kitaaluma bila kutoa rushwa ya ngono. Let's give these women respect they deserve regardless of our political affiliation. Halima Mdee ni Mwanasheria, unadhani degree yake aliipata kwa mtindo huo unaouwazia?
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.

Nonsense!

Ndio kamuogopa?

Aisee
 
Serikali Ya Viwanda
Hapa Kazi Tu
😅😄😃😂😁😀
 
Siyo vizuri kudhalilisha wanawake/ watoto wakike kwa kuamini kuwa hawawezi kupata mafanikio kitaaluma bila kutoa rushwa ya ngono. Let's give these women respect they deserve regardless of our political affiliation. Halima Mdee ni Mwanasheria, unadhani degree yake aliipata kwa mtindo huo unaouwazia?

siyo wote. hapa tunamzungumzia huyu aliyeko kwenye mada. na mafaili yake tunayo. tunasubiri mtoa mada asee SUU.
 
siyo wote. hapa tunamzungumzia huyu aliyeko kwenye mada. na mafaili yake tunayo. tunasubiri mtoa mada asee SUU.
Wala siyo hekima kushambulia personality yake kwa vitu ambavyo huwezi kuvithibitisha. Any character assassination to one woman, is an attempt to an entire gender ambapo hata mama yako anakuwa ni victim wa character assassination.
 
Acha kumfananisha mama wa watu na vitu vya ajabu!
 
Kwa hiyo;

1. Wakili Peter Kibatala hakuwepo tu mahakamani

AU

2. Alikuja mahakamani na kisha kumkimbia shahidi kwa sababu tu huyo shahidi ni mwanasheria??

Hujaeleweka kwa kiwango kikubwa...!!
This is what it deserved to ask!. You have done what ought to be done [emoji818][emoji123][emoji123]
 
Kwa hiyo;

1. Wakili Peter Kibatala hakuwepo tu mahakamani

AU

2. Alikuja mahakamani na kisha kumkimbia shahidi kwa sababu tu huyo shahidi ni mwanasheria??

Hujaeleweka kwa kiwango kikubwa...!!
Eti wakili haugui. hana kesi nyingine kwenye mahakama tofauti,hana dharula n.k
 
Back
Top Bottom