Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

jenga hoja

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
30
Reaction score
131
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
 
FB_IMG_1567234894164.jpg

Huyu kada wa ccm aliyeikana picha hii ndio wa kumtisha kibatala ?
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
Yaani apambane na mawakili kumi na tano alaf akiogope kiburudisho cha Lumumba ambacho hakijafaulu mitihan ya law school?What a foolish fool
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
Kamongo unachekesha kweli, Kwahiyo hiyo tarehe kumi huyo mwanasheria wako hatohojiwa? Halafu wanaokutuma humu mtandaoni wanaonyonya unawawakilisha vyama? Na kukulipa wanakulipa kwa hizi Pumba.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
Kwamba Kibatala aliyepambana na mwanasheria mkuu na wanasheria waandamizi ktk kesi mahakama kuu, leo kamkimbia mwanasheria gani aliye mkuu kuliko yule mkuu wa serikali?

Kwamba yule aliyemudu mahakama kuu leo kakimbia mahakama ya hakimu mkazi ndogo kimamlaka kuliko mahakama kuu.

Usitafute heshima kwa bei ya juu, utainunua dharau kwa bei nafuu.
 
Nafikiri ungefanya vyema kudadisi kuhusu kutokuwepo kwa Wakili Kibatala mahakamani, yeye ni binadamu wa kawaida ambapo huwa na udhuru wa kawaida ambao hukubalika, ambapo kwa vyovyote vile sababu za udhuru zipo. Sasa wewe Mkuu, unakuja hapa na madai yenye kuchochewa na chuki za kisiasa na kiitikadi. Kuwa muwazi tu, kuwa unapenda kesi hii ifikie hatima yake kwa haraka, ili wale usiowapenda wapate kuhukumiwa na kufungwa jela.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
Kibatala huyu huyu aliyewagalagaza wanasheria 15 + AG wa serikali?
 
Back
Top Bottom