Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

Wala siyo hekima kushambulia personality yake kwa vitu ambavyo huwezi kuvithibitisha. Any character assassination to one woman, is an attempt to an entire gender ambapo hata mama yako anakuwa ni victim wa character assassination.
Total rubbish, let a spade be called a spade and not a big spoon.
 
Wakubwa wamepakua na sumaku huyo sio was kushindana na kibatala
 
Yani we ni kichekesho,kibatala amkimbikie Afisa Uchaguzi wa halmashauri,ambaye elimu yake ni kuuunga unga ,mtu ambaye hajaenda hata chuo cha sheria...au ukitaka Uzi wako upate viewers wengi ,haya umefanikiwa
 
Wakili mmoja wa serikali alipata kuniambia miezi sita iliyopita Kuwa, katika mawakili wanaoogopwa sana kule serikalini ni Fatma Karume na Peter Kibatala.
 
Naona hili ni ingizo jipya pale kwa chakubanga
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
 
Jamaa kajiunga leo hii jf ili atuletee mawazo ya kichakubanga
sawa mama. kama ni mwanasheria mzuri kupambana na Kibatala mpelekeni SOUTH akomboe ndege yetu
 
Kajiunga leo hii huyo nafikiri ndiyo kaingia kutoka kule koromitje
Kamongo unachekesha kweli, Kwahiyo hiyo tarehe kumi huyo mwanasheria wako hatohojiwa? Halafu wanaokutuma humu mtandaoni wanaonyonya unawawakilisha vyama? Na kukulipa wanakulipa kwa hizi Pumba.
 
Kibatala huyu huyu aliyewagalagaza wanasheria 15 + AG wa serikali?
Alikuwa ni Solicitor General (SG) - wakili mkuu wa serikali, huyu ndiye anamuwakilisha AG kwenye kesi zote za madai

Ila wote AG ama SG ama DPP ni 'walewale' tu mbele ya Kibatala
 
Kwa hiyo;

1. Wakili Peter Kibatala hakuwepo tu mahakamani

AU

2. Alikuja mahakamani na kisha kumkimbia shahidi kwa sababu tu huyo shahidi ni mwanasheria??

Hujaeleweka kwa kiwango kikubwa...!!
hahaha mkuu umemjibu vyema ,yaani jf kuna watu waajabu sijaona maishani
 
Back
Top Bottom