Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

Kibatala amkimbia shahidi ambaye ni mwanasheria

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani.

Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti 30,2019 kumhoji shahidi wa saba katika kesi hiyo, Victoria Wihenge ambaye ni Ofisa Uchaguzi kutoka Manispaa ya Kinondoni pia ni mwanasheria kitaaluma, lakini hadi kesi hiyo inaahirishwa alikuwa hajatokea Mahakamani.

Uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ulitolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Thomas Simba ambapo aliahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, 11 na 12, 2019 itakapoendelea.
Hivi nyie watu mlizaliwa na wanawake wa aina gani?
Kwa hiyo Kibatala kupata udhuru ndo kukimbia!
Kwa hiyo ndo Kibatala hatarudi tena mahakamani? Na huyo shahidi hatatoa tena ushahidi wake mbele ya kibatala?
Kesi imeahirishwa, tutahitaji mrejesho wako siku huyo wakili wenu atakaposhindwa kujibu maswali Ya Kibatala
 
Mi sipingi inawezekana kweli kamkimbia maana pendine Ni Bwana wako wakati unampa uchi Labda alikutamkia kuwa kaamua kumkimbia huyo wakili.


Je alikwambia ataendelea kumkimbia Hadi lini?
 
Naona hili ni ingizo jipya pale kwa chakubanga
Duh chaku!!!!
FaceApp_1564538837445.jpeg
 
Akikujibu naomba unitag
Mi sipingi inawezekana kweli kamkimbia maana pendine Ni Bwana wako wakati unampa uchi Labda alikutamkia kuwa kaamua kumkimbia huyo wakili.


Je alikwambia ataendelea kumkimbia Hadi lini?
 
Back
Top Bottom