Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 551
- 156
Kweli kabiisa, naunga hojaWaruhusu pia wanafunzi kufuga midevu
Kweli kabiisa, naunga hojaWaruhusu pia wanafunzi kufuga midevu
Ha ha ha......SHule hazina walimu wala madawati then anotokea mtanzania mmoja anaomba serikali iruhusu uvaaji wa vibaragashia shule, huyu ni mtanzania anayetarajiwa naye achangie kwenye dira ya taifa 2050, kama hii sio laana basa laana haina maana, tunawaza vitu virahisi rahisi sana, hii pia ndio aina ya fikira walizonazo viongozi wetu
Kibaraghashia Ni sunnaHijab inaeleweka ni stara(sehemu ya vazi) kwa mwanamke. Kibagharashia kina umuhimu gani? Ifike hatua ndugu zangu katika imani tufanye mambo kwa logic.
Sioni haja ya kurasimisha hiyo kofia kichwani
Mimi ni MUISLAM.
Hakuna ulazima wa wavulana kuvaa hizo kofiaKama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Maswala ya dini shuleni yasipewe kipa umbele tutakuja kugawana mbao km waislam wanaruhusiwa kuvaa hijabu na wakristo wavae magauni ya vitenge
Wewe unaweza kuwa miongoni mwa hao wanaowaza hivyo...lakini pia dini hazina shida ila shida iko kwa waliozipokea hizo diniDini hizi zimetutoa akili.
Mtu mweusi anadhani ati kibaragashia , kanzu na hijabu ni vazi la kiislam na asijue tu ule ni utamaduni wa warabu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
🥸😬mchumba wangu mamboo😕😕
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Hamjamuelewa mtoa mada, lengo lake hijabu zipigwe marufuku shule za ummaSHule hazina walimu wala madawati then anotokea mtanzania mmoja anaomba serikali iruhusu uvaaji wa vibaragashia shule, huyu ni mtanzania anayetarajiwa naye achangie kwenye dira ya taifa 2050, kama hii sio laana basa laana haina maana, tunawaza vitu virahisi rahisi sana, hii pia ndio aina ya fikira walizonazo viongozi wetu
Kind like stupidity eti nae kafikiri kwa kichwa?SHule hazina walimu wala madawati then anotokea mtanzania mmoja anaomba serikali iruhusu uvaaji wa vibaragashia shule, huyu ni mtanzania anayetarajiwa naye achangie kwenye dira ya taifa 2050, kama hii sio laana basa laana haina maana, tunawaza vitu virahisi rahisi sana, hii pia ndio aina ya fikira walizonazo viongozi wetu
Talk to themHijab inaeleweka ni stara(sehemu ya vazi) kwa mwanamke. Kibagharashia kina umuhimu gani? Ifike hatua ndugu zangu katika imani tufanye mambo kwa logic.
Sioni haja ya kurasimisha hiyo kofia kichwani
Mimi ni MUISLAM.
Hayo ya wazungu tuyaache tuangalie kufia au shuka kichwani linatusaidia nini. Mungu angetaka si agetuumba na kofia na mashuka kichwani?Mzungu mbona anahangaika kusitiri matiti anaacha matako na mapaja nje na bado tunawaabudu na kuwasujudu kama ndiyo miungu ya Waafrika katika kila kitu.
Nambiehey Beauty 😕😕
ni upuuzi ule ule tuHamjamuelewa mtoa mada, lengo lake hijabu zipigwe marufuku shule za umma
Hofu kwakouko poa
HahahahahahahaKama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Acha Ukhafiri huo, Muislam halisi hupenda kujulikana kwa Salamu yake, Nasaba, Utashi na hata mavazi lakini zaidi kwa KuswaliHijab inaeleweka ni stara(sehemu ya vazi) kwa mwanamke. Kibagharashia kina umuhimu gani? Ifike hatua ndugu zangu katika imani tufanye mambo kwa logic.
Sioni haja ya kurasimisha hiyo kofia kichwani
Mimi ni MUISLAM.