KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa!

kaka tusipende kulaumu system bila kujua undani hivi ukiambiwa ubainishe jinsi mfumo unavyohusika na haya matukio utaweza kubainisha,omba mungu kunasiku unaweza kuwa kwenye mfumo na utaona lawama utakazopokea hata huzijui
 
Japo maneno haya aliyaandika mwa 2011 hakika bado yanafukuta nadhani ndiyo maana amejeruhiwa. Pole sana Kibanda. Freedom Fighter Fights To Open The Minds of Non Free To Be Free.
 
kaka tusipende kulaumu system bila kujua undani hivi ukiambiwa ubainishe jinsi mfumo unavyohusika na haya matukio utaweza kubainisha,omba mungu kunasiku unaweza kuwa kwenye mfumo na utaona lawama utakazopokea hata huzijui

Hivi we ----- unachangia nini humu jf hauna na haujui acha kuandika pumba

Watu humu ni Great thinker hivyo usifanye tufikirie zaidi ya uwezo wa kufikiri ulipoishia pusss
 
Baada kuumizwa JK na wapambe wake wakakimbilia Hospitalini SA kumpa pole na mengineyo!tusubiri maana anaweza akarudi na kuwa bubu kama mdogo wake Uli!tunamsubiri sana!Episode mpya hii...tusubiri!
 
Baada ya kuisoma tena hii makala ya Kibanda naanza kuunganisha dots kati ya yaliyompata Ulimboka na mwandishi huyu.
Waliomfanyizia Kibanda wana uhusiano na wale waliomfanyizia Ulimboka.
 
Kaka habari ya Kibanda ni ngumu mno , tumsubiri yeye mwenyewe , angalau anaweza kutuonyesha pa kuanzia .
Sio ngumu, alipata maumivu makali sana aliposulubiwa, kucha, kidole, meno na jicho na mwili mzima. Yaani kama Dk Ulimboka. Sijui mtuhumiwa alitoroka mahabusu kuja tena uraiani. kumbe sisi tunachukuliwa kama maburula wa choka mbaya kabisa. CCM Tupa Huko 2015.
 
Haya mambo yapo wazi sana hivi...kwa nini Riz aliandika kwa fb kwa kejeli "Hili nalo ikulu inahusika !" .Baada ya siku kazaa anasema sio yeye baada ya kuona mambo yanageuka bila kutarajia !?
 
kaka tusipende kulaumu system bila kujua undani hivi ukiambiwa ubainishe jinsi mfumo unavyohusika na haya matukio utaweza kubainisha,omba mungu kunasiku unaweza kuwa kwenye mfumo na utaona lawama utakazopokea hata huzijui

System lazima ilaumiwe....kama kuna wana mtandao katika uongozi...na kuna makundi ndani na nje ya chama yaliyopelekea kiongozi kuingia madarakani...kuna jinsi ya system kulindana na kupambana invisibly na makundi yaliyoshindwa na bado yanashindana nje na ndani ya chama....kuna mambo mengi ya ki-mfumo hayaridhishi ila watumishi wananyamaza ili waendelee kutia mkono kinywani.....
 
Haya mambo yapo wazi sana hivi...kwa nini Riz aliandika kwa fb kwa kejeli "Hili nalo ikulu inahusika !" .Baada ya siku kazaa anasema sio yeye baada ya kuona mambo yanageuka bila kutarajia !?

Ridhiwani angejifunza siasa kutoka kwa Mbunge January Makamba....ambae anatumia uwezo wake katika analysis na uwanja wa siasa...na sio umaarufu wa baba yake....au kutumia mgongo wa baba yake....ndo maana January hapondwi mawe!
 
cc MwanaDiwani thatha , Zemarcopolo , Ritz, utaifakwanza ,
 
Last edited by a moderator:
Alijiingiza kwenye mtego huku akijitia kwenye kundi la maaduni, kila upande amezungukwa nao tu. Kumbuka kule Habari Corporation ni ya magamba.
sio magamba tu, ni magamba walio kwenye kambi flani,siunajua magamba wamegawanyika
 
mmelikoroga, msiogope kulinywa. nyie mnafikiri kuteka watu ndo dili? sasa mnatafuta kila kisababu, wala haitasaidia kabisa.
 
mmelikoroga, msiogope kulinywa. nyie mnafikiri kuteka watu ndo dili? sasa mnatafuta kila kisababu, wala haitasaidia kabisa.
Aliyemteka Ulimboka ndiye huyo huyo aliyefanya njama za kumteka Kibanda. Kikwete haitwi mzee wa visasi kwa bure tu. Hii makala ya Kibanda ilimwacha uchi.
 
kibanda ilikuwaje hukusimama hapa!
ilikuwaje hukubaki absolom yule tuliyekujua
ilikuwaje brother?
zile makala za aina inayotofautiana na mbingu dhidi ya ardhi na makala hii zilianzia wapi?
zilitoka wapi brother?
uliaznaje kibanda kuandika kanusho la makala hii,?
ulipata wapi huo ujasiri ukasahau kuwa jamaa huwa hasahau kitu?
ilikuwaje ukasahahu jamaa ni mtu wa visasi?
ilikuwaje brother?
ilikuwaje ukaamini uko salama kiasi hicho?
dah!
maskini TANZANIA!ipo siku tutakulilia sana nchi yangu?maana bado hatuamini kuwa unajifia taratibu!ikifika hiyo siku ya kutambua kuwa nchi yetu ni marehemu hakika hakuna chozi litakaloacha lisitoke!OLE WANGU hiyo siku nikiwa hai!
 
Aliyemteka Ulimboka ndiye huyo huyo aliyefanya njama za kumteka Kibanda. Kikwete haitwi mzee wa visasi kwa bure tu. Hii makala ya Kibanda ilimwacha uchi.

ilikuwa ima faima alipe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…