Kibanda kuwa Managing Editor wa New Habari kuanzia Disemba 1, 2012

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa Tanzania Daima bwana Absalom Kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya Rostam Aziz kama Managing Editor chini ya babu Prince Bagenda.

Kama kawaida, kampuni New Habari inachapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The Afrikan, Bingwa na Dimba.
 
Duh!hii kali,lakini hakuna haja ya kushangaa kwa kuwa watu wanatafuta!
 

Umbea ukikithiri humfanya mtu akashindwa hata kupiga pasi nguo anayotaka kuvaa kwa hofu ya kuchelewa kusikiliza umbea.
Don't you think we are having a candle in the darkness?
 
Hapo kilichoangaliwa na Fungu.. I would have done the same for the sake of my family...
Uzalendo ulikuwepo zamani na sio sasa .. Labda wapatikane wakuiturn upside down hii Serikali yetu....
 
Aende lakini katika Uandishi wake akumbuke kuzingatia Ethics za Uandishi habari. Si kusifia tu hata kusichosifika au kukandia kitu ambacho hakina mawaa kwa ajili ya kujipatia tu "vipande thelasini".
 
Lowassa kaanza kujipanga kwa media, tutegemee kuchafuana kama JK1995,
LE, Bashe&Co wataweza kutumia media kumpata Rais 2015?
 

Ulitaka afanye wapi? au ulitaka asifanye kazi acheze bao kama wewe
 
jakibinda - yote kwa yote... jaribu ku-edit "subject" ya hii "thread"::: "breking"??? & "maneging"??? & "deceber"???...!
 
hivi watumishi wooooote, wanaofanyakazi billicanas ni CDM. tujaribu kutofautisha ajira na siasa . hata mh MBOWE hawezi kuingiza biashara zake kwenye siasa na kuwa moja ya vigezo vya ajira kuwa mwanachama wa CDM. kumbuka HATA first lady kwamaana ya first lady wa mh SLAA alikuwa diwani wa CCM , mama ROSE KAMILI hivyo kama ni kweli hakuna tofauti ya mshambuliaji wa klabu ya simba MRISHO KHALFAN NGASSA .kimwili yuko SIMBA kiroho yuko YANGA
 
Ndio yule aliyeandika makala ya kumuhofia Kinana kwa kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa CCM?!

Ndio mwenyewe huyu mimi nilishamuona siku nyingi bora amevaa GAMBA mapema uwa anamsifia MAMVI kila kukicha.
 
Kila la kheri kibanda, sisi tunabaki na CDM yetu. Nenda huko sisi tumekutuma ukatufanyie kazi ili tuelewe undani wa hawa magamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…