OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Habari niliyopata hivi punde ni kuwa mhariri mtendaji wa Tanzania Daima bwana Absalom Kibanda anaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya Rostam Aziz kama Managing Editor chini ya babu Prince Bagenda.
Kama kawaida, kampuni New Habari inachapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The Afrikan, Bingwa na Dimba.
Kama kawaida, kampuni New Habari inachapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, The Afrikan, Bingwa na Dimba.
Habari za kuaminika kutoa chanzo cha ndani ya kampuni hii ni kwamba Yule Mhariri aliyejiongea umaarufu wa kudharauliwa na wasomaji kuanzia wiki mbili zilizopita, amepewa ajira na Bashe na ataanza kazi kwa bosi Huyu mpya wiki ijayo.
Inasemekana Bashe alikuwa na wakati mgumu sana kumtunza mwanahabari Huyu mchovu kwa bilionea Rostam, kama ataripoti itaonekana kwamba Bashe atakuanamefanikiwa. Huu ni katika makati wa Bashe SA kumpunguza makali Bagenda ambaye haelewani naye.
Kwa mujibu wa chanzo hicho, both Kibanda na Bagenda watakuwa wanaripoti kwa Bashe Kama Group Managing Editor na Editorial Director respectively kitu ambacho kwa wataalamu wa management ni kituko maana responsibilities zake ni Sawa. Kama ni Kweli basi usemi kwamba waandishi Wa habari wanaanza na Ku retire Kama ma correspondence unatimia.
Swali la msingi, Kati ya Habari na Kibanda, nani anayejengwa kwa kuzingatia uwezo, yawning strength? Angela Makunga tungeshituka kwamba Kweli habari imekumbwa na kimbunga kwa kutumiwa maneno yake, maana namuogopa Makunga, lakini kwa mchovu Huyu tutegemee Yale Yale ya Balile, atajikomba mpaka avue NGUO barabarani.
Hivi Kibanda hata Kama amechoshwa na Mbowe, huwezi kufanya kazi nyingine yoyote? Akitwange japo attendant wapi? Dira AMA Jamhuri? Vipi umoja limeenda wapi?
Eti wana JamiiForums nini maoni yenu?