Kibaka anapo bugi stepu kwa kuiba

Kibaka anapo bugi stepu kwa kuiba

Wanawake wakiwezeshwa wanaweza,wale wa zamani ungekuta anajiangulia ukunga huku kibaka akitembea mdogmdogo na mkoba wake
 
Kama hakuacha ukabaji,atakuwa na roho ngumu
 
Wadada wakiwezeshwa wanaweza naona anampa dozi huku akitabasamu
 
Back
Top Bottom