<br />Hii ina maanisha kuwa watunzi wetu wa mitihani nao ni wavivu wa kufikiri,, <br />
Nimeupenda msimamo wa hawa vijana kwenye kudai wanachostahili, siyo bora liende!
Bravo wavijana. Mijitu ishazoea mitihani maswali yanarudi yale yale. Hata u creative kidogo hakuna. Unanikumbusha Prof Mlambiti SUA alikuwa harudish mitihani coz alikuwa anakopy hadi nukta. Safi sana wavijana.
swali lililowaacha hoi vijana ni hili hapa.
mwenyekiti wa sasa wa umoja wa afrika ni nani
A) jakaya kikwete
B)Ribort mugabe
C) pohape hambwa wa namibia
Hii copy pate ya hatari maana hapo hakuna jibu asa mwenyyekiti ni zilasi zenawi wa ethipoa, ila wakati wa hili swali yaani 2008 alikua jakaya kikwete, madogo wakaona hii haiwezeakani wakatoka nje