Kibabage inatosha sasa, tumechoka

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,420
3,474
Leo sisalimii mtu, Feisal jana kajua kunilaza na maumivu ya moyo.

Well, kama title inavyojieleza, Nickson Kibabage kwanza kabisa, na hii ipo wazi, alikuja yanga kwa mkopo kwa kuomba yeye mwenyewe kupitia rafiki zake (kibwana, Mshery na Job). Engjneer hakuwa na mpango wa kumsajili, ila dogo mwenyewe aliomba aje kwa mkopo na kama akionyesha makali basi wampe mkataba wa kudumu kwa kumalizana na Singida.

Yes, Nafasi alipewa na Engineer, na wananchi tumejitahidi kweli kumvumilia na kumuonyesha support kubwa licha ya mpishano mkubwa wa kiwango baina yake na Lomalisa lakini leo sasa tunasema KIBABAGE SASA BASI INATOSHA, TUMECHOKA.

Hii ndo sababu ya wananchi kuchoka (Nawapa za ndaani kabisa), Well, Siku chache kabla ya mechi na Azam, Taarifa zilitoka mitandaoni na kuzagaa kwamba kunako mitaa ya msimbazi kwamba Wanamsimbazi wanamnunua Kibabage mwisho wa msimu ambaye anamaliza mkataba wake wa mkopo na Wananchi.

Licha ya Pande zote 2 za Singida na Mawakala wa mchezaji kugoma kuthibitisha taarifa hizi lakini siku chache badaye kwenye game ya derby, all of sudden, mchezaji anacheza chini ya kiwango kabisa na kupelekea tufungwe goal zote 2 kwa uzembe wake, hii kitu imetuumiza sana.

Transfer zipo na mikataba inaisha pia ila kama mtu anaona hawezi kuipambania team, ni afadhali atuache tu kuliko kutuweka fedhea.

Hii kwa kweli Inatosha na tumechoka.
 
NA WEWE KAMA UNAONA NI SAWA MCHEZAJI KUCHEZA CHINI YA KIWANGO KISA ANATAKA KUONDOKA KWENYE TEAM, ANZA KUCHEZA MDAKO, HUKU KWENYE FOOTBALL HAPAKUFAI. WE SAW THIS FROM GADIEL MICHAEL, HAKUNA KIPYA HAPA.
KAMA UNAONA MCHEZAJI ANACHEZA CHINI YA KIWANGO ANZISHA TIMU YAKO TAFUTA WACHEZAJI WAKO, SISI WANA YANGA TUNAMKUBALI KIBABAGE
 
Wewe hata kadi ya uwanachama hujawahi kuwa nayo, huna cha kuniambia mimi. Kwenye budget za yanga wakitengeneza, hela yangu mimi ipo pale, wewe unasema nini sasa..?
 
Kwamba kibabage jana alikua kipa akaacha mipira itikise nyavu?
Akawa striker akashindwa kushambulia
Alikua forward akashindwa kufunga!
Akawa beki akashindwa kuzuia mashambulizi

Mkifungwa kubalini kufungika.
 
Wewe hata kadi ya uwanachama hujawahi kuwa nayo, huna cha kuniambia mimi. Kwenye budget za yanga wakitengeneza, hela yangu mimi ipo pale, wewe unasema nini sasa..?
SIO KADI YA UWANACHAMA TU WEWE ULIZIA MWENYEKITI TAWI LA YANGA MIKONGENI NI NANI!!? ACHA KELELE KAMA UNAONA KIBABAGE HAFAI UNDA TIMU YAKO
 
Toka bwana, kuwa mwenyekiti kitu gani..?
Wengi mmeingia huko sababu ya njaa tu. Ushamba tu kujidai na uongozi wa club. Mimi ni mwanachama na nitatoa malalamiko yangu sambamba na wanachama wenzangu kadili ya inavyotupendeza kwa maslahi makubwa ya club yetu.
 
ACHA KULIALIA WEWE KWANI KUFUNGWA SIO MOJA YA MATOKEO!!? MBONA TUKISHINDA MECHI AMBAZO YUPO UWANJANI HUJI KUANDIKA HAPA!!?
UNDA TIMU YAKO UONE KAMA NI RAHISI
 
Yaani wewe jua kwamba huwezi na hutakaa uweze kunipangia maoni ya kutoa kwa team yangu. Team nabaki nayo na maoni nitatoa. Kafie mbele huko na ma capital letter yako kama MEMKWA.
 
KIBABAGE HAONDOKI YANGA MPAKA MUDA WAKE UISHE LIA TOKA MACHOZI ILA KESHO KIBABAGE ATAKUWA BADO YUPO AVIC TOWN NA ANAPEWA MALIPO YAKE
 
Una gubu kama mke wa pili. Tafuta hela uachane na kulazimisha watu wajiskie vibaya kisa umeshindwa agree to disagree. Kalale store huko.
 
Leo sisalimii mtu, Feisal jana kajua kunilaza na maumivu ya moyo.

Well, kama title inavyojieleza, Nickson Kibabage kwanza kabisa, na hii ipo wazi, alikuja yanga kwa mkopo kwa kuomba yeye mwenyewe kupitia rafiki zake (kibwana, Mshery na Job). Engjneer hakuwa na mpango wa kumsajili, ila dogo mwenyewe aliomba aje kwa mkopo na kama akionyesha makali basi wampe mkataba wa kudumu kwa kumalizana na Singida.

Yes, Nafasi alipewa na Engineer, na wananchi tumejitahidi kweli kumvumilia na kumuonyesha support kubwa licha ya mpishano mkubwa wa kiwango baina yake na Lomalisa lakini leo sasa tunasema KIBABAGE SASA BASI INATOSHA, TUMECHOKA.

Hii ndo sababu ya wananchi kuchoka (Nawapa za ndaani kabisa), Well, Siku chache kabla ya mechi na Azam, Taarifa zilitoka mitandaoni na kuzagaa kwamba kunako mitaa ya msimbazi kwamba Wanamsimbazi wanamnunua Kibabage mwisho wa msimu ambaye anamaliza mkataba wake wa mkopo na Wananchi.

Licha ya Pande zote 2 za Singida na Mawakala wa mchezaji kugoma kuthibitisha taarifa hizi lakini siku chache badaye kwenye game ya derby, all of sudden, mchezaji anacheza chini ya kiwango kabisa na kupelekea tufungwe goal zote 2 kwa uzembe wake, hii kitu imetuumiza sana.

Transfer zipo na mikataba inaisha pia ila kama mtu anaona hawezi kuipambania team, ni afadhali atuache tu kuliko kutuweka fedhea.

Hii kwa kweli Inatosha na tumechoka.
Kwani si ushasema kuna mpishano mkubwa baina yake na Lomalisa sasa unacholaumu nni?

Na pia sio mara yake ya Kwanza kucheza Chini ya kiwango si ndio?
 
Kwamba kibabage jana alikua kipa akaacha mipira itikise nyavu?
Akawa striker akashindwa kushambulia
Alikua forward akashindwa kufunga!
Akawa beki akashindwa kuzuia mashambulizi

Mkifungwa kubalini kufungika. Watakupiga hawa Hawapendi ukweli
 
Back
Top Bottom