Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Kwahyo unakataa hyo picha si kweli?
picha sikatai ila kufanya ngoma pamoja ni ngumu labda miaka 5 ijayo,ukumbuke tu juzi juzi meneja wake diamond kaandika vijembe kuhusu kiba kwenye ile show ya kenya waliofanya pamoja bila kujijua
 
Usisahau neno Kimataifa hapo, nnacho maanisha Kiba akiimba na domo ataongeza kujulikana.
Ila domo hana cha kuongeza kwa sababu kwa soko la kimataifa he z way up there. Sasa Kiba amtoe domo ampeleke wapi tena wakati domo ashaimba na kina davido.

Kibongo bongo Ali alishatoka tena kabla ya domo, ila ki international, Ali hamfikii domo hiyo ni wazi.

*Kiba bado ni msanii mzuri, ila hajamfikia domo kujulikana na kupata mafanikio nje ya nchi yetu
Mkuu upo sahihi kabisa,tatizo kubwa analokabiliana na domo ni hizi team zao za ajabu ajabu,usikute anaemkandia domo na kumsifia kiba hata mziki haujui anajua tu madam wake kapost nin uko ig,domo anapambana na team nyingi sana lakin bado wamekaa,kuna team kiba,team wema na nyinginezo,mfano Nifah ni team wema yeye kila siku kumkandia domo tu badilika Nifah tunataka msanii wa kuitangaza Tanzania kimataifa kama Kanumba sio hao kina kiba miaka nenda rudi wapo locally
 
Aa hapo ni cute gelo, ila mpaka nione churaaa! Ndo ntajua kama ni beautiful gelo.

Nadhani yule jamaa,(mwenye jina la dawa) ana jituma kwli kukutunza.
Chura anarukaruka....
Msambwanda upooo....kidogo amazing flani hivii!!!
Acha majungu weweee....!!

Mtuache 199yrs!!!
 
Mkuu upo sahihi kabisa,tatizo kubwa analokabiliana na domo ni hizi team zao za ajabu ajabu,usikute anaemkandia domo na kumsifia kiba hata mziki haujui anajua tu madam wake kapost nin uko ig,domo anapambana na team nyingi sana lakin bado wamekaa,kuna team kiba,team wema na nyinginezo,mfano Nifah ni team wema yeye kila siku kumkandia domo tu badilika Nifah tunataka msanii wa kuitangaza Tanzania kimataifa kama Kanumba sio hao kina kiba miaka nenda rudi wapo locally
Mkuu nashukuru kwa kuwa muelewa, na uzuri ni kuwa wakati wanamsema domo mwenzao ana zidi kufanya kazi.

Timu hizi zina haribu sana muziki
 
hii picha siyo yao mbona akaunti zao za mitandaoni hawajapost wala nn
 
Back
Top Bottom