Wewe unajulikana wapi?Watu wana chuki utafikiri aliwalia vyenuKongo tu hawamjui!
Acha roho mbaya.Tour zake mwisho Mombasa..
Samahani we mwanaumeKongo tu hawamjui!
Mbavu zanguHuko Kongo unakokusema anapendwa kuliko hata rais Kabila
"its time to meet my fans across the world" i start at south africa hata kizungu changu cha zisi isi nimeelewaPretoria na Durban ziko upande gan kwa Mombasa
Umeanza na kejeli ukaishia na pongeziNaona ameamua kuwatendea haki watani zake ambao huwa wanasema amefanana na jamaa wa movie ya God must be crazy......
Hivi nayo si ya south africa?
Anyway ni vizuri mmoja anashambulia Kaskazini ( diamond) mwingine kusini(kiba) huku kiswahili chetu kinazidi kukua