szarkey
Member
- Aug 12, 2014
- 87
- 69
Ndo Mlicho kiacha hicho.. Huyo Diamond kwa kijana ambae ameanza mziki 2008 mbona naona anafanya Vizuri zaid ya Ali Kiba.?Diamond atasubiri Sana
Najua mtakimbilia kwnye Sauti ila ukwel ni kwamba huyo Dogo kwa Tuzo tuu Kiba anatakiw aone aibu kidogo