Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Hongera King Ali Saleh Kiba.
Tokea nimeanza kuwa shabiki wako takribani mwaka wa 11 huu hakuna wimbo uliowahi kuutoa ukanibamba sawasawa na video yake kama Aje.

Aje ni wimbo mkubwa sana, nasikitika ulitoka wakati ambao nilipata msiba wa mamangu mkubwa ndio maana nilishindwa kuufungulia thread.
Haikufaa kabisa kwa wimbo mkubwa kama Aje kwa mimi shabiki wako wa kutupwa nikae kimya kama sio msiba ule .

Mwaka wa 2016 ulikuwa mwaka wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG]
Period
 
Vichwa vyenu vigumu kuelewa kilichobaki ni kuwaoa tu ndio mtaelewa, ameanza The bold kamchukua Nifah,sasa hivi yupo kimya Nifah umsikii tena kushabikia upuuzi wa team kibakuli,tukimaliza wanawake wenu,tunahamia kwa wanaume,mkajiandae!!
mkuu mapenzi yangu kwa The bold hayanizuii kuendelea kuwa Nifah I used to be.

Sasa hivi nimepewa likizo na bwana mkubwa sababu tunahitaji muda zaidi wa kuwa pamoja na sio vinginevyo.
 
Hongera King Ali Saleh Kiba.
Tokea nimeanza kuwa shabiki wako takribani mwaka wa 11 huu hakuna wimbo uliowahi kuutoa ukanibamba sawasawa na video yake kama Aje.

Aje ni wimbo mkubwa sana, nasikitika ulitoka wakati ambao nilipata msiba wa mamangu mkubwa ndio maana nilishindwa kuufungulia thread.
Haikufaa kabisa kwa wimbo mkubwa kama Aje kwa mimi shabiki wako wa kutupwa nikae kimya kama sio msiba ule .

Mwaka wa 2016 ulikuwa mwaka wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG]
Period
Wakianza kukushambulia nistue.
 
Mm co mtu wa timu lakin kiba nampendea ustaarab mijitu inayopenda sifa na mm tofaut kabisa.
Na hii ndiyo sababu inayonifanya nimkubali jamaa.

Napenda sana watu wanaokeep low profile.
Sikumchukia Diamond from nowhere,nilikuwa shabiki wake mzuri tu tokea alipotoka na Kamwambie.
Alipoanza sifa tu ndio nikajitoa kwake na kubaki shabiki mtiifu kwa mstaarab Kiba.
 
mkuu mapenzi yangu kwa The bold hayanizuii kuendelea kuwa Nifah I used to be.

Sasa hivi nimepewa likizo na bwana mkubwa sababu tunahitaji muda zaidi wa kuwa pamoja na sio vinginevyo.
Ndicho nachomaanisha,tumeanza na wew na wengine watafuata watapewa likizo kama ulivyopewa wewe,so wajiandae maana wcb ni Mdogo Mdogo tu!
 
I am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.

Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid

Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
 
Sasa apo ndo ukishadadia sana u team kwa mambo haya watu watakukuta umejinyonga kisa usiyempenda anaendelea kutoboa big up kiba na diamond,2017 ndo iyooo na sisi bado tupo huku kitaa tunatiana vidole vya macho kwa sababu yenu wakati nyie mkipiga pesa na kununua nyumba south mungu atuzunguke
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom