kiazi nimevuna shambani leo

kiazi nimevuna shambani leo

... Mkuu' kiazi gani hiki?
Naona mkono wa mzungu' je vinalimwa kwao?
 

Hiyo kiazi dume uliikuta na ile kiazi ya kike?

Sasa umeipeleka kwa shemegi? Umemiambia shemegi aihifadhi vizuri sehemu siku ukisafiri nje ya kijiji imsaidie, asije kufa njaa?
 
Back
Top Bottom