Kiatu changu!

Kiatu changu!

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
hiki kiatu natinga nacho club najua nitacheza peke yangu sitaki bugudha la sivyo nawachoma.

attachment.php
 

Attachments

  • boot.jpg
    boot.jpg
    31.4 KB · Views: 551
Hivi viatu poa sana kwenye daladala...maana kuna watu hao huwa hawasikii raha bila kukanyaga wenzao especially ukiwa umeng'arisha kiwi yako kiatu kinawaka!
 
duh hivyo viatu... hiyo inaitwa sitaki shari ... a.k.a usinisogelee..!!
 
una F ya Maarifa darasa la saba wewe!
 
Back
Top Bottom