Kiatu cha kutembelea - The Scariest Shoes ever

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
470_2519633.jpg
470_2519540.jpg
 
470_2519631.jpg


Raha ya kiatu utembee kwa raha, hapa sijapata hisia ya raya ya kiatu zaidi ya kuwa kiatu cha kutisha kwa usalama wa mvaaji.
 
Aiseee babaangu kama hiki kiatu kitazinduliwa mweshimiwa lazima apande pipa akashudie na macho yake
 
Kiatu gani hicho mtu ukivaa inabidi uanze kujifunza kusimama dede kama mtoto? Khaa, waishie nacho huko huko kwa hamnazo.
 
Back
Top Bottom