Kiasi gani kikubwa uliwahi kuhonga?

Kiasi gani kikubwa uliwahi kuhonga?

964925721-snack-foods-couch-table-throwing-up-arms-being-thrilled.jpg
 
Niliota nahonga laki mbili nikashtuka nikaona tangu nianze kuota ndoto za kutisha hii ni namba moja bora ningeota nakimbizwa na majoka au nakabwa koo na majini
Hahahaha..
 
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!

Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.

Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.

Je wewe uliwai honga nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Me last month nimehonga laki tatu SHE akanunue simu ,,,,,juzi nimekuta meseji whatsapp anachat na basha wake,,,anasifiwa kuwa anajua kufir... .....@ana,,,, wakati me sijawai kupewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimetoa mshebwebwe wa nguvu mpaka demu kagoma kuchukua pesa.....Anataka mshebwe tu
 
Niliota nahonga laki mbili nikashtuka nikaona tangu nianze kuota ndoto za kutisha hii ni namba moja bora ningeota nakimbizwa na majoka au nakabwa koo na majini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wimbo gani unafaaa hapa katia.

[HASHTAG]#mume[/HASHTAG] bwege-bushole

Kizaizai-wa baba tiffa
 
Da kwa bahati sijawahi kuhonga, wapiga mizinga huwa nawaepuka kama ukoma
 
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!

Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.

Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.

Je wewe uliwai honga nini?
Kwanza hilo neno KUHONGA litowe ukipenda unakuwa unatoa kwa moyo na sio kuhonga kwasababu inakuwa ni mapenzi..
 
Kwanza hilo neno KUHONGA litowe ukipenda unakuwa unatoa kwa moyo na sio kuhonga kwasababu inakuwa ni mapenzi..
Basi nini maana halisi ya neno KUHONGA
 
Niliwahi kumpa answer sheet yangu mdada akakopi majibu yote katika test two.
Pia nimemaliza kusomesha mtu mwezi uliopita. (Huku kunaitwa kuhudumia).
Mkuu hongera
 
Nilihonga laki mbili na nusu, roho iliniuma kama nimegonga pumbu kwenye angle ya kitanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom