Kiasi gani kikubwa uliwahi kuhonga?

as the law says''WE MUST GIVE INORDER TO GET''....na unaweza kutoa na usipate...it happens...
 
Mwaka 2008 ilibaki kidogo tu nihonge FIGO moja kumuimpress demu. Babaake alikuwa anaumwa sana na anahitaji kusaidiwa figo. Kwa kumuonea huruma dem coz kila siku ananilalamikia hali ya mzee wake, ikabidi nijitoe mhanga na mimi kama mchangiaji. Daah kilicho "nisevu" mzee wake alivuta kabla safari ya India. Nmeachana nae saiv almost 3yrs now. Lakin tukikutana haachi kunilipa fadhila kwa moyo niliouonyesha, kitu ambacho bro zake walishindwa.
 
Ww ni mwema sana kaka
 
Kwa jinsi nlivyohonga nafikiri ningewekeza nngejenga hata gorofa moja...acha tu
 
Me last month nimehonga laki tatu SHE akanunue simu ,,,,,juzi nimekuta meseji whatsapp anachat na basha wake,,,anasifiwa kuwa anajua kufir... .....@ana,,,, wakati me sijawai kupewa
 
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!

Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.

Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.

Je wewe uliwai honga nini?
Wajameni si mnajua rushwa ni kosa sasa kuhonga si rushwa.!
 
Niliota nahonga laki mbili nikashtuka nikaona tangu nianze kuota ndoto za kutisha hii ni namba moja bora ningeota nakimbizwa na majoka au nakabwa koo na majini
Kwel mkuu kuhonga sana sio sifa ,kujisogeza kwenye umasikini tuu
 
Back
Top Bottom