Kuhonga sikawahi natoa kwa moyoNi kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!
Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.
Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.
Je wewe uliwai honga nini?
Mlaumu aliyekuumba kabla ya wakati maana ingelikuwa sasa FA keshawapasha madume suruali, au ulifuata TV!?Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!
Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.
Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.
Je wewe uliwai honga nini?
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!