Kiasi gani kikubwa uliwahi kuhonga?

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,914
1,976
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!

Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.

Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.

Je wewe uliwai honga nini?
 
Kuhonga sikawahi natoa kwa moyo
 
Mlaumu aliyekuumba kabla ya wakati maana ingelikuwa sasa FA keshawapasha madume suruali, au ulifuata TV!?
 
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!

Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.

Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia wazaz wake fedha na mahitaj yote muhimu.
Pamoja na kuhonga vyote sikupata papuchi nilinyang'anywa na wajanja.
Sio kesi ilikua ni mapenzi tu.

Je wewe uliwai honga nini?
pole mkuu hizo ni ajal kazini
 
Niliwahi kumpa answer sheet yangu mdada akakopi majibu yote katika test two.
Pia nimemaliza kusomesha mtu mwezi uliopita. (Huku kunaitwa kuhudumia).
Hayo yanaitwa mapenzi
 
Niliota nahonga laki mbili nikashtuka nikaona tangu nianze kuota ndoto za kutisha hii ni namba moja bora ningeota nakimbizwa na majoka au nakabwa koo na majini
Bado ujapenda ndugu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom