utalii tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Wizara inasema Watalii wamefikia Milioni 5.3, Mtu anakuja kununua vitunguu kutoka Kenya, naye anaambiwa ni mtalii

    Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, akichangia Bungeni bajeti ya wizara ya maliasili na utalii amesema ... "Leo hii wizara inatuambia watalii wamefikia milioni 5 na laki 3... Lakini ukweli ni kwamba hizi takwimu ukifuatilia ni takwimu zinazochukuliwa kwenye boda, kwenye mipaka yetu ya...
  3. Bhizabhityo BB

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dhahabu Halisi ya Utalii Tanzania

    Kila mwaka, Tanzania inajitangaza kama moja ya vivutio vikubwa vya utalii barani Afrika. Watu wengi wanakimbilia Serengeti, Ngorongoro, au kupanda Kilimanjaro. Lakini ukweli ambao takwimu zinaonyesha wazi ni huu: Zanzibar ndiyo dhahabu halisi, na bado haijatumika kikamilifu. Nenda Serengeti...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Watalii 48,000 ndan ya wiki 2, Utalii Tanzania unapaa zaidi

    https://dailynews.co.tz/tourism-rising-tanzanias-beauty-outshines-noise/ Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania ‘Bongo Zozo’ ajivua Ubalozi wa Utalii Tanzania kufuatia mauaji ya waandamanaji

    Kutokana na hali ya uvunjifu wa amani na kupotea kwa utu nchini Tanzania, nimeamua kujiuzulu rasmi katika nafasi yangu ya Balozi wa Utalii. Nimesikitika sana kuwaangusha Watanzania kwa ujumla, pamoja na ndugu yangu aliyeniteua, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, na marafiki wengi niliowapata...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii yatoa taarifa kuhusu hali ya Utalii Tanzania baada ya vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    TAARIFA RASMI YA USAFIRI (TRAVEL ADVISORY) Dodoma, Novemba 04, 2025 Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuufahamisha umma, wageni na wadau wa Sekta ya Utalii ndani na nje ya nchi, kwamba hali ya amani na utulivu imerejea na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi zinaendelea baada ya...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipaisha Tanzania Kimataifa,yaingia Top 10 ya Nchi Zinazokua Kwa Kasi Kwenye Utalii. Ni Taifa pekee kwenye Top 10 kutoka Afrika

    Mnabyozidi Kumfitini SSH ndiyo nyota yake mnaisafisha na kuiangazia Tanzania. My Take Royal Tour Impact https://www.instagram.com/p/DOBQ0hDDXiw/?igsh=MXYyZWI1dWV6dDQ1cQ==
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Travel and lifestyle, Mbuga gani nzuri kwa kutalii bongo

    Husika na kichwa cha habari , mbuga gani nzuri kwa kutalii Bongo Zingatia Accommodation Vyakula Idadi ya wanyama Urahisi wa kufika kwa barabara
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana Aipa Tano TTB Kutangaza Vivutio vya Utalii

    Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini huku akisisitiza kuwa hayo ndio maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji katika Sekta ya Utalii wakaribishwa kuwekeza katika hifadhi ya mazingira asili Kalambo

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula ametoa rai kwa Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhamasisha wadau na wawekezaji waliopo katika Mkoa wa Rukwa na nje ya Mkoa huo kuwekeza huduma mbalimbali za kijamii katika Maporomoko ya Kalambo yaliyopo...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tanzania yarekodi ongezeko kubwa la watalii kutokea China

    DAR ES SALAAM, Nov. 4 (Xinhua) -- Idadi ya watalii kutoka China wanaotembelea vivutio vya utalii vya Tanzania imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu kumalizika kwa janga la COVID-19, afisa mmoja wa utalii wa Tanzania amesema. Hassan Abbasi, katibu mkuu katika Wizara ya Maliasili na Utalii...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii

    Wakuu habari za muda huu naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

    Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara. Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo. Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa). Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Utalii Tanzania

    Friday, September 20, 2024  In the first seven months of 2024, the international tourism landscape witnessed an impressive surge in visitor arrivals in several countries, showcasing not only a recovery but, in some cases, a significant out performance compared to pre-pandemic levels. Among...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Mikumi Yazaa Mapinduzi Makubwa Sekta ya Utalii

    MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI YAZAA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA UTALII Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  17. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Mringanisho wa Mafia Island Vs Maldive Island

    Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives. Ukumbwa Mafia -435 KM2 maldive -300 KM2 UCHUMI MALDIVES -6 Billion za kimarekan MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin) SHUGHULI ZA UCHUMI MAFIA-Utalii Maldives -Utalii Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

    Wakuu, wazee wa nature. Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater. Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa. Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai. Pamoja na kwamba ni weekdays ila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mbinu za makusudi za kuiua Serengeti ya Tanzania na Masai Mara ya Kenya ili kukuza Dubai Safari Park kwa ajili ya utalii wa wanyama wa porini?

    Nadhani hivi karibuni kila Mtanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla, wameshangazwa na kufadhaishwa na kauli ya Raisi Samia kutoa agizo kwamba madini yaliyoko Serengeti yachimbwe, kwa sababu simba na tembo hawali madini. Tangazo la raisi Samia Sasa labda watu wengi wasichoelewa ni kwamba, kwa...
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Welcome to the ultimate wedding safari extravaganza in Tanzania's national parks

    Mtende is a beautiful area located in Zanzibar, known for its stunning white sandy beaches, crystal-clear blue waters, and serene natural surroundings. Visitors to Mtende can immerse themselves in the peaceful and tranquil atmosphere while enjoying a range of activities such as snorkeling...
Back
Top Bottom