Pongezi kwa Tanzania Safari channel

mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
3,255
4,599
Habari za sasahivi Watanzania matajiri wasio wanyonge. Ndio! Sisi sio wanyonge kama ambayo tulikaririshwa. Ni kwa sababu ya baadhi ya watu wachache ambao wanatumia kivuli ya unyonge na u yamaskini kubaki madarakani.

Anyway! Tuache hayo, Leo naomba ridhaa kwenu kuisifia Tanzania Safari channel. Kadiri siku zinavyosogea wanazidi kuimprove. Naona hawa sio kama wale Tbccm. Japo wote ni baba mmoja mama mmoja lakini mama hawezi kuzaa watoto wote majambazi na wazinzi. Lazima atazaa na wema pia kati ya wabaya wengi.

Kwa upande wa uangavu (uang'avu) wamejitahidi.picha na video ni very clear Yaani HD tofauti na mwanzo,hasa ukiangalia kwenye HDtv wengine wanaita flat tv au smart tv.Hii inamfanya mtazamaji ajione yupo mahali pale panapooneshwa tukio,na kuvuta hisia na uzuri usio kifani.

Pia soundtrack au music pia iko powa Sana yenye kuvuta Sana hisia na kufanya utamani kuendelea kutazama.Si hivyo tu,hata sauti za watangazaji ni nzuri,zinasimulia vizuri,kwa sauti ya kutamani kuisikia tena na tena.

Labda niwatie moyo kuendelea kufanya tafiti katika maeneo husika kwa sababu clip zingine ni dakikia 1 hivyo mtazamaji anabaki na kiu.kwa hiyo muelendelee kufanya tafiti Ili simulizi ziwe zimeshiba maudhui.Lakini pia mfike sehemu mbalimbali za Tanzania Ili kupata vipindi vingi zaidi na sio kurudia clip zilezile kila siku.

Pia mnaweza kutumia matangazo ya kipindi kipya mfano Lijue ziwa Chala ,ziwa la ajabu huko Rombo Kilimanjaro,atleast mwezi mmoja kabla Ili mtazamaji apate shauku kubwa.

Pia muongeze wataalamu nje na kusimulia tu mtuambie kwa mfano kama ni "ziwa Ngosi" watafuteni waprofesa na wataalamu wa "jiolijia''wengine kuwa ziwa hili linatojeaje wakati hakuna mto yanayojaza maji ziwani kama maziwa mengine. N. K

Ahsante Aluta continua. MBOWE SIO GAIDI/TUNATAKA KATIBA MPYA TANZANIA.
 
Acha hizo mkuu.
Safari Channel ni uozo kwa kweli.
Wakakuonyesha Rubondo toka asubuhi hadi usiku, kwa siku saba.
Hawana kitu kipya
Stori zao ni kisiwa cha Saanane , Kilwa na picha ya Peramiho mnato SIKU ZOTE!!!!!!
Mi imekuwa bored huwa sitazami tena!
 
Hivi wanavyoonesha ni juu juu sana...hivyo vipindi wavichimbe zaidi kwa undani.
 
Back
Top Bottom