Kiapo kinaniumbua

Kiapo kinaniumbua

Kibaya ni kwamba haujui kesho hata mwanao anaweza kuwa single mother na wewe ukapata shida kumpigia debe ili apate mtu mwingine wa kumuoa

Kingine, unaonekana hauna mtoto je unauhakika gani kama utakuja kupata mtoto huko mbeleni hata kama ukiwa na mwanamke ambaye hajazalishwa?? Sio kila wanao Adopt watoto wanaoenda wengine hawana vizazi na wanatamani kuwa na watu japo watakao waita Baba/Mama hata kama sio damu zao

Mwisho, unaweza lea mtoto wa mwanaume mwingine ambaye alitelekezwa na baba yake akaja kuwa msaada mkubwa kwako kuliko hata ambaye anaweza kuwa wa damu yako.

Men up Bro.
Ni ujinga kuwa na mapenzi ya kuoneana huruma.
Unajua hapa sipati amani na furaha yangu unaendelea kuwepo kwa kumuonea huruma tu.
Kwenye watoto wa kambo wanaolelewa na baba asiyekuwa wao wakamthamini Ni 5%.
Kwa Nini uishi kwa kuteseka kisa watoto ambao watakuja kumtafuta baba yao?
Au hata baba yao bado yupo na anaendelea kumtafuna huyo mkeo.?

Ni kwa sababu tu tunabahatisha.
Lakini ukijua kuwa huzai tafuta maisha mengine uishi.
Usikimbilie kuoa aafu ukaishia kusimangwa na kuteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua nina kinyaa sana kwa mwanamke ambae alisha zaa maana huwa navuta taswira jinsi mandhari ya pampuchi yanavyoharibikaga + kutanuka wakati wa kujifungua asee hua inanitia kichechefu chefu mno
emoji13.png
emoji13.png
emoji13.png
!!(kama ni mke wangu ni sawa maana hizo ni juhudi zangu)

Bro; Nadhani wewe ni mtoto saana na wewe unatamani kufundishwa mambo haya lakini unaogopa kuomba ufundishwe. Jiulize, Je wewe ulizaliwa na mwanamke au?? Na baada ya kuzaliwa au kabla hujazaliwa, hakukutokea tena mtoto mwingine?? Je huyo babako naye angemuona kinyaa mamako wewe ungeenda wapi au ungepatikanaje?
Ningeomba ubadili lugha yako na kujieleza namna nyingine kwani papuchi sio linyama fulani kuwa likifunguka halirudi hubaki hivyo hivyo. Ingelikuwa hivyo nadhani wamama zetu wangelikuwa wanavaa ndoo kuzuia mikojo. Wewe nadiriki kusema; Ni mpuuzi ka wapuuzi flan hivi waliojaliwa kuona siku ya leo.
Huyo Nancy wako kama aliwahi kusoma thread hii hata akikusalimu kesho naye ni chizi
 
Single mother wanapata tabu sana humu

Mkuu sidhani kama kuwa single mother inamaanisha wametumika sana kuna wengine wapo vizuri tu

Nilishakutana na katoto kadogo kabichi nikajua kitu tight nikashangaa ngoma ikapita free bila kizuizi kama msafara wa Raisi

Wapo ambao hawajazaa na wametumika kuliko hao Single mother
noma sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe tena.. basi naangalia opportunity ya kumtema japo bidada wa watu mtamu sana jamani..!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni ushauri tu, usipende kujihusisha na mahusiano ambayo ikitokea cha kutokea unajikuta umezama akili zikirudi unaanza kujuta.

Jaribu kuwa kwenye mahusiano ambayo hata ikitokea issue za mimba inakuwa ni kwa mtu ambaye huna tatizo kuishi naye.
 
Nilishaapa kutokuwa na mahusiano na single mother yeyote yule hapa duniani kwa sababu zifuatazo:-

Kwanza huwa na- imagine kama kwa mabinti tu wa hapa mtaani washagegedwa mno lkn hawajazaa je huyu alie alizalishwa, kashagegedwa mara ngapi

Hua nina kinyaa sana kwa mwanamke ambae alisha zaa maana huwa navuta taswira jinsi mandhari ya pampuchi yanavyoharibikaga + kutanuka wakati wa kujifungua asee hua inanitia kichechefu chefu mno!!(kama ni mke wangu ni sawa maana hizo ni juhudi zangu)

Kuishi na mwanamke alie zalishwa huwa najiona kama mwanaume mwenye mapunguf yaan nilelee watoto wa mwanaume mwenzangu ilihali mimi hata mimba ya kusingiziwa sina!!

Kingine huwa nawaza ndugu jamaa na marafiki watanichulia kama mimi ni domo zege la kwenda kung'ang'ania kitu used wakati kuna watoto wabichi kabisa. kwa iyo sina confidence ya kuvifuata..

Haya ni baadhi ya mambo ambayo huwa yananipa ualakini wa kuwa/kuishi na single mother.. Japo kuna mengine mengi..

Sasa jamani kama nilivyowahi kutoa mada huko nyuma ya kumhusu mdada kwa jina NANCY anaefaa kwa macho yaan ni mwanamke aliejengwa akajengeka. Sasa mapenzi yetu yamezidi kushika hatamu hadi kufkia hatua ya kuanza kutambulisha kwa baadhi ya watu wakaribu

Ila sasa wakuu kilicho nichanganya zaidi ni leo mapema asubuhi kanipigia simu akaniuliza B, upo job nikamwambia nipo, ghafla kafka na vitoto viwili vya kike kanitambulisha kwa kuniambia hawa in watoto wangu wa kuzaa mwenyewe mmoja anaitwa Anet ana mwaka mmoja na nusu na mwingine Juliet miaka5. akamalizia kwa kusema msalimieni baba yenu huyu. Kisha kunielezea kuwa kama nampenda yeye basi niwapendw na wanae(ukipenda boga)

Mpaka sasa nipo njia panda maana nishaapa kutoishi wala kuwa na mapenzi na single mother. maana kama watoto wabichi yaan mtaani wamejaa kibao sana sasa iweje niishi nae kizembe hivi..

Kiuhalisia nilikuwa nishaanza kumpenda but kwa hili naona nimekwama na naitaji msaada wenu wa mawazo maana kwa upande mwingine siwezi wala kujihusisha kimapenzi na mtu ambae mimi nipo 0 yeye keshafunga goli mbili teyari..

Ushauri tafadhari wana jamvi wenzangu nifanye nini ndugu yenu?
Ila wewe ungekuwa umezaa yeye bado mbichi ndo ungeona sawa..!? Kuweni na huruma kwa dada zetu jamani. Kwani hao malaika wanamakosa gani....!!?

We oa bhaana, kwanza videm vya siku hizi vinamapenzi ya mwendo kasi kichizi. Havijui nini vinataka. Chukua huyo anayejua nini maana ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wewe ungekuwa umezaa yeye bado mbichi ndo ungeona sawa..!? Kuweni na huruma kwa dada zetu jamani. Kwani hao malaika wanamakosa gani....!!?

We oa bhaana, kwanza videm vya siku hizi vinamapenzi ya mwendo kasi kichizi. Havijui nini vinataka. Chukua huyo anayejua nini maana ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
naona umekuja na speed ya kimondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom