ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,656
- 24,618
usemalo ni kweli lkn tatizo linakuja kuwa, haya mapenzi ya kuoneana huruma majanga yake ni makubwa na siku hizi hayapo, ni kheri niishi na kilema ambaye najua alifanya kitu kwa bahati mbaya kuliko kuishi na single mother ambaye aliyataka mwenyewe.. "Mwandaa majanga atakula na wa kwao"Kibaya ni kwamba haujui kesho hata mwanao anaweza kuwa single mother na wewe ukapata shida kumpigia debe ili apate mtu mwingine wa kumuoa
Kingine, unaonekana hauna mtoto je unauhakika gani kama utakuja kupata mtoto huko mbeleni hata kama ukiwa na mwanamke ambaye hajazalishwa?? Sio kila wanao Adopt watoto wanaoenda wengine hawana vizazi na wanatamani kuwa na watu japo watakao waita Baba/Mama hata kama sio damu zao
Mwisho, unaweza lea mtoto wa mwanaume mwingine ambaye alitelekezwa na baba yake akaja kuwa msaada mkubwa kwako kuliko hata ambaye anaweza kuwa wa damu yako.
Men up Bro.
Taswira yako inaonyesha mandhari ya papuchi uwa inaharibika/kutanuka baada ya kujifungua..Ndo ulimkuta hivyo??..Vipi ukaweza kumgegeda?mara kibao kaka, si mambo ya ujana haya.. ujana bila migegedo ni sawa na gari pasipo mafuta!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kila single mother alipenda kuwa hivyo wengine walidangnywa, wengine walishindwa kuwa ndani ya mahusiano na mtu aliyewazalishausemalo ni kweli lkn tatizo linakuja kuwa, haya mapenzi ya kuoneana huruma majanga yake ni makubwa na siku hizi hayapo, ni kheri niishi na kilema ambaye najua alifanya kitu kwa bahati mbaya kuliko kuishi na single mother ambaye aliyataka mwenyewe.. "Mwandaa majanga atakula na wa kwao"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu geuka nikuone cheupeWahenga walisema usitukane mamba kabla hujavuka mto
Usinizeeshe bana..Mwanangu mwenyewe haniamkiiShikamoo K
Vp kipindi unamgegeda ujakutana na hayo mapunguvu mkuu?
Najua hukugundua chochote we endelea kupiga Mashine na wewe umzalishe kama alivyofanya mwenzako!
Sent using Jamii Forums mobile app
mapunguf hana, japo chuchu zimelala ila znetuna(kubwa kama za kimambi) hivyo kugungua iliniwia vigum, kingine mabint wa siku hiz hata ambae hajazaa unaweza mkuta ana chuchu zimelala..
Mm siwezi kuchanganya ukoo wangu na wa wanaume wengine maana hii huleta tabia ya watoto kubaguana kwa kujiita ww ni flan na mm ni wa flan, nahitaj nkimzalisha mwanamke mmoja huyo huyo nkomae nae mwanzo mwisho.. Ikitokea bahati mbaya kwa mke kuzalishwa wavimba macho hapo haina namna kulko hii ya kujitakia kabisa..Ulishindwa kumtambua kama ni mamamara kibao kaka, si mambo ya ujana haya.. ujana bila migegedo ni sawa na gari pasipo mafuta!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana iyo haina nje ndani, hapo ubao unasoma tu mbili bila sasa hapo huyo mwamba anatakiwa afanye ile kitu inaitwa 'win from behind'
Ndio kusema shikamoo yangu huitaki kabisaUsinizeeshe bana..Mwanangu mwenyewe haniamkii
taaabu sana hawa dada zetu, angalau mtu kafungwa goli moja eti yeye katunguliwa mbili zote, hamnaaa hii hali imenishinda msema kweli mpenzi wa mungu!!
Mkuu kama kwenye avatar yako umependa na umefanikiwa kuweka picha ya mtoto wa mzungu usiyemjua hata unashindwaje kuwapenda watoto wa mpenzi wako?nilishaapa kutokuwa na mahusiano na single mother yeyote yule hapa duniani kwa sababu zifuatazo:-
kwanza huwa na- imagine kama kwa mabinti tu wa hapa mtaani washagegedwa mno lkn hawajazaa je huyu alie alizalishwa, kashagegedwa mara ngapi
hua nina kinyaa sana kwa mwanamke ambae alisha zaa maana huwa navuta taswira jinsi mandhari ya pampuchi yanavyoharibikaga + kutanuka wakati wa kujifungua asee hua inanitia kichechefu chefu mno
!!(kama ni mke wangu ni sawa maana hizo ni juhudi zangu)
kuishi na mwanamke alie zalishwa huwa najiona kama mwanaume mwenye mapunguf yaan nilelee watoto wa mwanaume mwenzangu ilihali mimi hata mimba ya kusingiziwa sina!!
kingine huwa nawaza ndugu jamaa na marafiki watanichulia kama mimi ni domo zege la kwenda kung'ang'ania kitu used wakati kuna watoto wabichi kabisa. kwa iyo sina confidence ya kuvifuata..
haya ni baadhi ya mambo ambayo huwa yananipa ualakini wa kuwa/kuishi na single mother.. Japo kuna mengine mengi..
sasa jamani kama nilivyowahi kutoa mada huko nyuma ya kumhusu mdada kwa jina NANCY anaefaa kwa macho yaan ni mwanamke aliejengwa akajengeka. Sasa mapenzi yetu yamezidi kushika hatamu hadi kufkia hatua ya kuanza kutambulisha kwa baadhi ya watu wakaribu
Ila sasa wakuu kilicho nichanganya zaidi ni leo mapema asubuhi kanipigia simu akaniuliza B, upo job nikamwambia nipo, ghafla kafka na vitoto viwili vya kike kanitambulisha kwa kuniambia hawa in watoto wangu wa kuzaa mwenyewe mmoja anaitwa Anet ana mwaka mmoja na nusu na mwingine Juliet miaka5. akamalizia kwa kusema msalimieni baba yenu huyu. Kisha kunielezea kuwa kama nampenda yeye basi niwapendw na wanae(ukipenda boga)
Mpaka sasa nipo njia panda maana nishaapa kutoishi wala kuwa na mapenzi na single mother. maana kama watoto wabichi yaan mtaani wamejaa kibao sana sasa iweje niishi nae kizembe hivi..
kiuhalisia nilikuwa nishaanza kumpenda but kwa hili naona nimekwama na naitaji msaada wenu wa mawazo maana kwa upande mwingine siwezi wala kujihusisha kimapenzi na mtu ambae mimi nipo 0 yeye keshafunga goli mbili teyari..
Ushauri tafadhari wana jamvi wenzangu nifanye nini ndugu yenu?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We mshipa ake mtu nageukaje na wakati sio mm huyo