Kiapo kinaniumbua

Kiapo kinaniumbua

Hapana iyo haina nje ndani, hapo ubao unasoma tu mbili bila sasa hapo huyo mwamba anatakiwa afanye ile kitu inaitwa 'win from behind'
Ni kazi sana huo mkeka kutoa hapo live odds zishakuwa nyingi hakuna anaezitamani labda Diamond
platnumz nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akuhurumie tu bro. Siku moja utatambua haya uyaandikayo hapa ni utoto/ujana tu unakusumbua.

Ukijua maana ya maisha utaona kuwa single mother au single father ni kitu cha Heri tu duniani.

Nakushauri sana chunga maneno ya kusema au nadhiri za kuweka maishani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata haliegundua hela nae bado alikufa kwa madem, haimaniishi niishi kama kisiki pasipo kuwa na mitazamo yangu ninayoiamini kila mtu ana misimo yake japo ya mungu ni mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama kwenye avatar yako umependa na umefanikiwa kuweka picha ya mtoto wa mzungu usiyemjua hata unashindwaje kuwapenda watoto wa mpenzi wako?

Anyway, Shukuru hata unapendwa kiasi kwamba mdada kasema ua iwe akakutambulisha wanawe kwani wengi wamefichwa wakajua miaka mitano ama zaidi baada ya ndoa.

Wabichi unaowanadi ni kweli wanapendeza machoni ila kumbuka watakuzalia watoto wa wanaume wengine ndani ya ndoa na utalea mpaka unakufa hujui si wa kwako na hii ndiyo dharau kubwa kuliko zote.

Ushauri wangu ni umepata anayekupenda na unajua hilo hivyo tulia. Najua kuna kasumba ya single mothers Tanzania na Africa kama si dunia nzima ila nina mifano mizuri ambayo ingekupa imani nao.

Wewe angalia, kuwa naye karibu ujue kuwa hana yale zaidi ambayo hayarekebishiki mjadiliane. Ukiamua kumuoa mpende na watoto wake ukiamua la muache kwa heshima na mbaki na siri zenu msianikane atapata wa kumpenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwenye watoto wa kike angenifaa, nikiongeza na wangu tunatimiza watoto watatu safi.

Maana watoto wakike ukiwalea vizuri wanakuwa wanajua huyu ndo mdingi, ila ukikuta ana wa kiume, wakifikisha 12-16 wanaanza kukuvimbia.
sawa mkuru ngoja nichakate cha ili nijue cha kufanya!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Single mother wanapata tabu sana humu

Mkuu sidhani kama kuwa single mother inamaanisha wametumika sana kuna wengine wapo vizuri tu

Nilishakutana na katoto kadogo kabichi nikajua kitu tight nikashangaa ngoma ikapita free bila kizuizi kama msafara wa Raisi

Wapo ambao hawajazaa na wametumika kuliko hao Single mother
 
sawa mkuru ngoja nichakate cha ili nijue cha kufanya!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo ni baraka mkuu, cha muhimu ni kuangalia uwezo wako wa kuwalea bila kubagua, na pia muhimu ni kujua baba yuko wapi, kama yuko around huo mzigo utakusumbua. Jiridhishe sana.

Sisi tunapanga halafu Mungu anawezesha kwa anavyoona ni sahihi na si lazima iwe tulivyopanga.
 
Hizo ni baraka mkuu, cha muhimu ni kuangalia uwezo wako wa kuwalea bila kubagua, na pia muhimu ni kujua baba yuko wapi, kama yuko around huo mzigo utakusumbua. Jiridhishe sana.

Sisi tunapanga halafu Mungu anawezesha kwa anavyoona ni sahihi na si lazima iwe tulivyopanga.
daaah tatizo umri kaka, me bado mdogo kuishi kama baba!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom