Kiapo kinaniumbua

Kiapo kinaniumbua

wahenga walisema "bandu bandu humaliza gogo" nahisi wameshambandua bandua hata hakunamo kitu, walio wahi kumzalisha hao ndio walikuta madini bado yamo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana bado inaonesha una mawazo kama yangu nilivyokuwa na miaka 20 nikuhakikishie tu maisha siku moja yatakuelekeza vizuri kutambua mapenzi ni zaidi ya kusimama kwa chuchu ama uke kutanuka. Utaangalia nyuma na kutambua how useless your thoughts were.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Handcap ya 0:2 huwa zina faida zake mkuu

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kuwa single mother sio kuwa mwanamke ametumika sana wapo wanapewa mimba na haguswi mpaka anajifungua na mtoto anakuwa mkubwa bado kajitunza.
Hao unasema wasichana wabichi ndio wengi wametumika na utakuta wametoa mimba zaidi ya tatu kwahyo nawao ni 'single mother without a child'
Ni bora hao walioamua kuzaa kuliko kutoa
AKILI KUMKICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka pia.. Kuna member humu huwa anadai kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye migogoro, embu tafakari kuna siku atawapeleka watoto wake wakamuone/wakawaone baba zao(sijajua kama watoto wote ni wa baba mmoja) hv watashindwa kugegedana kww kigezo cha kukumbushiana...?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taswira yako inaonyesha mandhari ya papuchi uwa inaharibika/kutanuka baada ya kujifungua..Ndo ulimkuta hivyo??..Vipi ukaweza kumgegeda?
hiyo ni taswira yangu ubongoni nikilinganisha ukubwa wa mtoto na papuchi ilivyo, kwa kigezo kuwa ntapwaya(ila uhalisia wa wanawake wa sasa break ni korodan kiukweli)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwenye watoto wa kike angenifaa, nikiongeza na wangu tunatimiza watoto watatu safi.

Maana watoto wakike ukiwalea vizuri wanakuwa wanajua huyu ndo mdingi, ila ukikuta ana wa kiume, wakifikisha 12-16 wanaanza kukuvimbia.
 
Back
Top Bottom