KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

amekula dili akapiga pesa sasa anatusaliti watz, kala kama unajua lowasa alisingiziwa tutajie alopiga dili hilo, we si umechunguza kwa kina, uwezo wa kuchunguza kwa kina Kala wewe shule yako hiyo umasikini wako huo umeutoa wapi??? Umeanza kuwa na ujasiri wa kifisadi no wonder ushakula hela ya fisadi. Unauwezo wa kuchunguza kwa kina kuliko kamati ya Bunge, ufisadi kweli ni tabia sio sura.
 
Lowasa ndiye mwenye uwezo wa kuongoza nchi. Huu ujinga peleka kwa mkeo


AR..jpg Mtoto na urais.jpg
 
Lowasa ndiye mwenye uwezo wa kuongoza nchi. Huu ujinga peleka kwa mkeo


kama anauwezo si awaface wananchi. mbona kajikita kutoa rushwa misikitini na makanisani???
hakuna kosa kubwa watanzania tutalifanya km ili la kumchagua uyu fisadi mkuu na ccm.
uyu lowassa ni muovu pia muuni mkubwa tena mtu wa visasi ni nani asiyejua kuwa alifikia kumtumia wahuni mh. nassari kisa kikiwa kumshinda mkwe wake sioi sumari.
mnaomuunga mkono labda awe raisi wa familia zenu
 
Una ma...v..i kichwani kwako wewe.... Siwezi kuungana na kijana mjing...a kama wewe. Kama ni tuhuma mbona woote wanazo. Mbowe, slaa, Sumaye n.k mafi yakoooo.....
Bora mimi mana naweza pona lakini wewe unaubongo wa maiti ko huwezi sikia dawa hv mumelogwa na nani nyie kenge
 
Huna haja ya kuwatukana watu, sema ni kwa nn unamkataa, mana ww unatumika mahali njaa imekuzidi hadi kwenye kucha. Chuki binafsivkm slaa
Unaubongo wa maiti wewe ko huwezi kusikia dawa ko mi nadhani nyie si watu wa kawaida ila ni wagonjwa
 
Ungetulia ukaedit hata post yako URAS,RASI 215 mara Urasia ndio nini hizo ni chuki na wewe ndio umeonyesha kutumika vibaya hata lugha si ya staha kabisa,EL hajatangaza nia ya kugombea nyie kutwa mnahaha tu kumchafua msubirini huko kwenye chama chenu akichukuwa fomu ndio uhuni unaofanya hapa uwapelekee wahuni wenzio.
Unaubongo wa Maiti wewe huwezi kusikia dawa hebu amka dada
 
Ungekuwa sio mpu.mb.avu usingeandika ulichoandika.
 
Mimi kama mama naapa kuwa lowasa hafai kabisa kuwa rais.
 
​
Mimi kama kijana wa kitanzania na mwenye msimamo wa kweli usio sindikizwa nanjaa nina jitoa kwa dhati kuwa LOWASA hata shika madaraka yoyote makubwa katika nchi hii zaidi ya uwaziri mkuu ulio mshinda, vijana tukiwa ndo watu ambao tunategemewa inatakiwa tuwe na msimamo mmoja wa kulipinga hili kwani tutakuja dharaulika sana na vizazi vijavyo tukisoea kwenye hili swala (kumpa LOWASA NCHI KAMA RASI)
LOWASA hata kama atakuja kuhamia au kuamua kugombea urasia kwa upitia CCM au chama kingine chochote hatakiwi kupewa nafasi ya urasi mana hata ya uwazili mkuu aliyopewa kama FADHIRA na rasia ailiyepo ilimshinda tena kwa kashfa nzito sasa tena kumpa nafasi kubwa ya kushika mstakabali wa wananchi wote with full power ni kuweka rehani Taifa
Vijana musishikwe na njaa ya muda mfupi ambayo inasahaulika kwa wewe kula a kwenda kujisaidia (kunya) mana chakula huwa hakiishi milele (kudumu kyk tumbo) katika tumbo lakini maamuzi sahihi huishi daima katika maisha yetu na ya vizazi vijavyo, ko kumshabikia LOWASA kama wanamziki uchwara KARA JEREMAYA NA WAPUMBAVU WENZIE kuendelea kumpigia kampeni za chini kwa chini hazijengi na inatakiwa vijana wote tuungane na tupinge upuuzi huu.
Maisha ya binadamu haya ishi baada ya wewe kufa ko mambo unayo yafanya sasa yana athali kubwa kwa unao waacha je itakuwaje ume mchaguwa mtu aliye wahi kuwa na tuhuma za upotevu wa mahela kibao ya selikari na akasababisha asara kubwa kwa taifa aje aharibu maisha ya mwanao au mjuu wako think big
MIMI NATOWA WITO KWA VIJANA WOTE WANAO TAKA KUINGIA KWENYE MTEGO WA KUSHAWISHIKA NA LOWASA SHTUKA HUYU JAMAA NI HATALI SANA KWA USTAWI WA NCHI YETU MIMI NITA MPINGA MPAKA MWISHO UNGANA NAMI
Stephano D.M 0713127214
Mimi kama kijana mwenye msimamo simhitaji kiongozi yeyote awe Raisi kutoka katika chama kilichochoka CCM
 
hivi mguvu za ;pwasir zinapungua kila kukicha, alfu maapota wake wengi ni kama wauza unga vile!! maana hawjionyeshi wazi, utasikia" Nachangiwa pesa na rafiki zangu"
 
Mmeshafika wangapi mpaka ss mnao kula kiapo hcho?alafu jichunguzeni mnakadi za kupigia kura hyo 215 nyie mnaokula kiapo? Sio unakula kiapo Kumbe hata daftri ya kupgia kura hawakutambui
 
hivi mguvu za ;pwasir zinapungua kila kukicha, alfu maapota wake wengi ni kama wauza unga vile!! maana hawjionyeshi wazi, utasikia" Nachangiwa pesa na rafiki zangu"

hii kiapo imedoda, napita tu waungwana
 
Vyovyote vile kwa nchi hii hata kobe akiwa rais sawa tu hakuna mwema kilichobaki ni kuangalia unapokanya usichomwe na mwiba
 
Chunga weye,ogopa weye mzee wa visasi ogopa weye anaweza kukutafuta huko mafichoni uliko ili ulipe maneno yako weye lakini samaki mmoja katia kapu akiwa ameoza basi jua katika hilo kapu samaki wote wameoza
 
Back
Top Bottom