KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

Kama lowasa hatakiwi watanzania ndiyo wataamua na kama watu wanamtaka watamchagua tu hata umchafue kiasi gani.
 
Lowasa kashindwa kuongoza wamasai hapo arusha ataweza taifa angalia mfano kwa saiba wake.
 
​
Mimi kama kijana wa kitanzania na mwenye msimamo wa kweli usio sindikizwa nanjaa nina jitoa kwa dhati kuwa LOWASA hata shika madaraka yoyote makubwa katika nchi hii zaidi ya uwaziri mkuu ulio mshinda, vijana tukiwa ndo watu ambao tunategemewa inatakiwa tuwe na msimamo mmoja wa kulipinga hili kwani tutakuja dharaulika sana na vizazi vijavyo tukisoea kwenye hili swala (kumpa LOWASA NCHI KAMA RASI)
LOWASA hata kama atakuja kuhamia au kuamua kugombea urasia kwa upitia CCM au chama kingine chochote hatakiwi kupewa nafasi ya urasi mana hata ya uwazili mkuu aliyopewa kama FADHIRA na rasia ailiyepo ilimshinda tena kwa kashfa nzito sasa tena kumpa nafasi kubwa ya kushika mstakabali wa wananchi wote with full power ni kuweka rehani Taifa
Vijana musishikwe na njaa ya muda mfupi ambayo inasahaulika kwa wewe kula a kwenda kujisaidia (kunya) mana chakula huwa hakiishi milele (kudumu kyk tumbo) katika tumbo lakini maamuzi sahihi huishi daima katika maisha yetu na ya vizazi vijavyo, ko kumshabikia LOWASA kama wanamziki uchwara KARA JEREMAYA NA WAPUMBAVU WENZIE kuendelea kumpigia kampeni za chini kwa chini hazijengi na inatakiwa vijana wote tuungane na tupinge upuuzi huu.
Maisha ya binadamu haya ishi baada ya wewe kufa ko mambo unayo yafanya sasa yana athali kubwa kwa unao waacha je itakuwaje ume mchaguwa mtu aliye wahi kuwa na tuhuma za upotevu wa mahela kibao ya selikari na akasababisha asara kubwa kwa taifa aje aharibu maisha ya mwanao au mjuu wako think big
MIMI NATOWA WITO KWA VIJANA WOTE WANAO TAKA KUINGIA KWENYE MTEGO WA KUSHAWISHIKA NA LOWASA SHTUKA HUYU JAMAA NI HATALI SANA KWA USTAWI WA NCHI YETU MIMI NITA MPINGA MPAKA MWISHO UNGANA NAMI
Stephano D.M 0713127214

Huna haja ya kuwatukana watu, sema ni kwa nn unamkataa, mana ww unatumika mahali njaa imekuzidi hadi kwenye kucha. Chuki binafsivkm slaa
 
Mungu mbariki lowasa awe rais wetu. Nitajitaidi kuakikisha ukoo wetu wote tunaenda kumpa kula lowasa

Kabla hujampa kura yako Lowasa nenda shule kwanza maana shule ulio nayo mmh inatia shaka sana.sema KURA na sema kukuhakikishia siyo kama ulivyo andika
 
Tumefanya ujinga tukapeleka magogoni NGO sasa tusifanye UPUMBAVU tukachagua lakuvunda ambalo kamwe halina ubani!
 
Hili jambazi nalo lilibahatika kuhutubia UN, nimeamini sio wote wsemao bwana bwana wataingia mbinguni.

Lowasa Ni jizi tena Fisadi papa.

Nawashanga wachungaji/maasikofu na mashehe kumruhusu huyu jamaa kunajisi makanisa na misikiti.

FRIENDS OF LOWASSA BLOG mh-lowassa-ahutubia-umoja-wa-mataifa.

Na Mwandishi Maalum, NEW YORK
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa ( Mb) amesisitiza haja na umuhimu wa kuwapo kwa ubia kati ya serikali na sekta binafsi katika kuzikabili changamoto zinazotokana na ongezeko kubwa la idadi ya wazee.

“ Maisha Zaidi ya miaka 60 hayapashwi kuwa ya utegemezi, unyonge, kutojiweza au kutokuwa na matumaini. Wazee bado na wanao mchango mkubwa ndani ya jumuiya, jamii, na familia zao ili mradi tu wawezeshwe”.

Na kwa sababu hiyo anasema Mhe, Lowassa, juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea Tanzania ikiwamo za utoaji wa huduma za msingi kama vile Afya , pensheni na uwezeshwaji zinapashwa kuchagizwa na sekta binafsi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Lowassa (Mb ), ameyasema hayo siku ya jumatano hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa wakati aliposhiriki majadiliano kuhusu namna gani suala la Wazee linavyoweza kuingizwa katika ajenda za maendeleo baada ya mwaka 2015.

Majadiliano hayo yaliandaliwa na United Nations Foundation kwa ubia na International Federation of Ageing, Help Age International, AARP, Global Coalition on Aging, mHealth Alliance na Pfizer

“Kama kundi hili la wazee likiwezeshwa na kusaidiwa ipasavyo , linaweza kuipatia jamii soko jipya, ujasiriamali, utoaji wa maamuzi, utoaji wa huduma na utalaamu anuai katika maeneo ya sayansi, teknolojia na upatanishi” anasema Lowassa.

Na kuongeza, ili hayo yote na mengine mengi yaweze kufanikiwa panahitajika bajeti ya kutosha kwa ajili ya kundi hilo la jamii ikiwa ni pamoja na kuimarisha mifumo ya pensheni, huduma za afya ambazo zitakidhi mahitaji ya wazee, huduma za kisaikolojia na huduma za ulinzi jamii,.
Hata hivyo anasema, inasikitisha kwamba, katika nchi nyingi za Afrika na nyinginezo hata zile zilizoendelea bado haziwezi kutoa huduma za uhakika na zenye viwango vya kukidhi mahitajio ya wazee.

“Mara nyingi huduma kwaajili ya wazee inabidi zishindane na huduma za makundi mengine kama vile ongezeko la vijana wasiokuwa na ajira, upunguzaji wa vifo vya watoto wachanga na wanawake wajawazito. Hata hivyo pamoja na changamoto zote hizi za vipaumbele hatuwezi kuendelea na utaratibu huu wa kuchagua. Lazima tutumie maandalizi ya ajenda za maendeleo baada ya 2015 kuwahudumia wazee” anasisitiza Lowassa.

Akasema Jumuiya ya Kimataifa inatakiwa kujikumbusha na kujifunza kwa kosa la kutoingiza suala la Wazee katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo ya Millenia ( MDGs) yanayoelekea ukingoni, kwa kuhakikisha kwamba Wazee wanaingizwa katika malengo mapya ya maendeleo baada ya 2015 kwa kuwa ni suala ambalo haliepukiki.

Akizungumzia hatua mbalimbali zinazochuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwahudumia wazee, Mhe. Lowassa anasema kama ilivyo kwa nchi nyingine, Tanzania nayo inakabiliwa na ongezeko la idadi ya wazee.

Kwa mfano, amesema asilimia 4.5 ya idadi ya watu, ni watu walio na umri wa miaka 65 wastani wa juu zaidi kuliko ule wa asilimia 3.6 Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

“ Asilimia 80 ya watu hawa wanaishi vijijini na maisha yao yanategemea kilimo. Serikali inajitahidi kadri iwezavyo kutoa huduma za msingi kwa kundi hilo ingawa pia, na kama ilivyo kwa nchi nyingine, tunakabiliwa na changamoto nyingi kukidhi mahitaji yote ya wazee”. Akabainisha.

Akatumia pia fursa hiyo kuyashukuru mashirika ya kimataifa kama vile Help Age International ambalo limekuwa likiendesha shughuli zake nchi nchi tangu mwaka 1993.

Akatoa mfano kwa kusema Shirika hilo, mwezi Juni mwaka huu kwa kushirikia na Pfizer limezindua mpango wa miaka miwili wa kupunguza athari zitokanazo na magonjwa yasiyoambukiza (NCD) ambayo yamekuwa yakiwaathiri wazee.

Akasema utoaji wa huduma hiyo unakwenda sambamba na juhudi za serikali katika kukabiliana na magonjwa hayo.

Akatoa wito kwa mashirika mengine kuiga mfano huo na kwamba serikali itakuwa tayari kushirikiano nayo.

Takwimu kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu ( UNFPA) zinaonyesha kwamba, katika kila sekunde watu wawili duniani wanaadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwao, na kwa mwaka karibu watu milioni 58 wanaadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa.

Aidha katika kila watu nane, mmoja ana miaka 60 au zaidi na makadirio yanaonyesha kwamba ifikapo mwaka 2050 katika kila watu watano mmoja atakuwa na miaka 60 au zaidi.

Ongezeko la idadi ya wazee duniani linachangiwa na mambo mengi, ikiwa ni pamoja na ongezeko la umri wa kuishi ambapo katika nchi 33 raia wao wanaishi zaidi ya miaka 80 wakati miaka mitano iliyopita nchi ambazo umri wa kuishi ulifika miaka 80 zilikuwa 19 tu.

Utafiti zaidi unaonyesha , umri wa kuishi utaongezea hadi kufikia miaka 90 au hata miaka 100. Japani kwa sasa ndiyo inasemekana kuongoza kwa kuwa na asilimia 30 ya wazee lakini ifikipo mwaka 2050 nchi 64 zitaungana na Japani kwa kuwa na asilimia 30 au zaidi ya wazee.
 
Huna haja ya kuwatukana watu, sema ni kwa nn unamkataa, mana ww unatumika mahali njaa imekuzidi hadi kwenye kucha. Chuki binafsivkm slaa

Mkuu bado umelala au vipi mbona hueleweki? Eleza hapo kwenye red unamaanisha nini?

Waulize

Karamagi na Dr msabaha kwanini lowasa aliachia ngazi ya uwaziri mkuu???

Kisha katafute ushahidi kwa mwakyembe kuthibitisha kwamba Lowasa ni JIzi yaani Fisadi Papa.

Tena cha ajabu sasa amehamia kunajisi makanisa na misikiti kwa kuhonga visenti akijisafisha.

Tuacheni ushabiki huyu Lowasa hafai kwa matendo na tabia zake, Ichunguzeni misaada yake inalenga mazingira gani....!!!!!
 
Chadema siyo chama ni kundi la waharifu wamwagia sumu watu na tindikali.

Tafakali ni yapi yaliwakumba hawa ni chamagani unadhani kinahusika.

Unamkumbuka Kamanda kombe arusha

Unamkumbuka Horace Kolimaba Dodoma

Unakumbuka mkasa wa mwakyemba kuvaa kofia muda wote

Unakumbuka ya katabalo na mambo ya Lolyondo

Tafakali chukuwa hatua, tena fuatilia kauli hizi

Liwalo na liwe - Ulimboka chali

Wapigwe tuu, maana tumechoka sasa, huko Dar Maiti kutoka kituo cha osterbay polisi kupelekwa mmwananyamala zimezidi kiasi kwamba mganga mkuu amezikataa maana wauliwa sana.

Sasa siku atauwawa kaka au mdogo wako na hawa unaowaona bora ndipo utafahamu kwanini hatuwataki CCM
 
​
Mimi kama kijana wa kitanzania na mwenye msimamo wa kweli usio sindikizwa nanjaa nina jitoa kwa dhati kuwa LOWASA hata shika madaraka yoyote makubwa katika nchi hii zaidi ya uwaziri mkuu ulio mshinda, vijana tukiwa ndo watu ambao tunategemewa inatakiwa tuwe na msimamo mmoja wa kulipinga hili kwani tutakuja dharaulika sana na vizazi vijavyo tukisoea kwenye hili swala (kumpa LOWASA NCHI KAMA RASI)
LOWASA hata kama atakuja kuhamia au kuamua kugombea urasia kwa upitia CCM au chama kingine chochote hatakiwi kupewa nafasi ya urasi mana hata ya uwazili mkuu aliyopewa kama FADHIRA na rasia ailiyepo ilimshinda tena kwa kashfa nzito sasa tena kumpa nafasi kubwa ya kushika mstakabali wa wananchi wote with full power ni kuweka rehani Taifa
Vijana musishikwe na njaa ya muda mfupi ambayo inasahaulika kwa wewe kula a kwenda kujisaidia (kunya) mana chakula huwa hakiishi milele (kudumu kyk tumbo) katika tumbo lakini maamuzi sahihi huishi daima katika maisha yetu na ya vizazi vijavyo, ko kumshabikia LOWASA kama wanamziki uchwara KARA JEREMAYA NA WAPUMBAVU WENZIE kuendelea kumpigia kampeni za chini kwa chini hazijengi na inatakiwa vijana wote tuungane na tupinge upuuzi huu.
Maisha ya binadamu haya ishi baada ya wewe kufa ko mambo unayo yafanya sasa yana athali kubwa kwa unao waacha je itakuwaje ume mchaguwa mtu aliye wahi kuwa na tuhuma za upotevu wa mahela kibao ya selikari na akasababisha asara kubwa kwa taifa aje aharibu maisha ya mwanao au mjuu wako think big
MIMI NATOWA WITO KWA VIJANA WOTE WANAO TAKA KUINGIA KWENYE MTEGO WA KUSHAWISHIKA NA LOWASA SHTUKA HUYU JAMAA NI HATALI SANA KWA USTAWI WA NCHI YETU MIMI NITA MPINGA MPAKA MWISHO UNGANA NAMI
Stephano D.M 0713127214

Una ma...v..i kichwani kwako wewe.... Siwezi kuungana na kijana mjing...a kama wewe. Kama ni tuhuma mbona woote wanazo. Mbowe, slaa, Sumaye n.k mafi yakoooo.....
 
Ungetulia ukaedit hata post yako URAS,RASI 215 mara Urasia ndio nini hizo ni chuki na wewe ndio umeonyesha kutumika vibaya hata lugha si ya staha kabisa,EL hajatangaza nia ya kugombea nyie kutwa mnahaha tu kumchafua msubirini huko kwenye chama chenu akichukuwa fomu ndio uhuni unaofanya hapa uwapelekee wahuni wenzio.

cumeelewa lakn?
 
Unamtaka nani apewe Nchi ?sema chagua lako Maana lowasa ni chagua la watu wake na wee chagua wako kisha mpeleke Dodoma kisha uwapigie magoti wapiga kura vijana wajitokeze kwani vijana wengi si wapiga kura kabsa ! Wazee na akina mama ndio wapiga kura wazuri
 
why you chadema are scared of EL?
kama hafai si ndio safi mshinde kiulaini.
 
Kala ndo kwisha kabisaa, hata CD zake kwangu nimekanyaga jinsi nisivyokubali kijana tena wakiume tena kabila kubwa kutumika kama kondomu wakati nchi inateketea
 
cumeelewa lakn?

Nyie mnasema EL mchafu alafu kila siku povu linawatoka kupambana nae hata nia hajatangaza,nyie mkamalizane kwenye chama chenu kwanza huko,kama anafaa au hafai mtajua huko kwenye masanduku ya kura.
 
Haya maswala ungewachoa watanzania wanaju cha kufanya wakati ukifika tena watafanya
maajabu.
one two kuwaambie waliokutuma kazi hyo ni ngumu. Mimi binafsi nimeapa kumpigia kampeni ashinde hivyo jiandae tukutane majukwaani. Nina mashaka umetumwa na Sitta,membe. Wewe ungetafakari ulichokiandika.
 
Back
Top Bottom