Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Nadhani kiapo cha damu ni pale . Wewe na yeye wote mnatoana damu then mnaapa hamtoachana.
Na hii ina nguvu sana, mtukuja rudiana tu kwa hali yoyote ile
 
Huu ni upuuzi na sitakaa nije niufanye.Niache kupenda pesa nipende mavitu ya kijinga? Kiruu
 
Kiapo cha damu si kizuri hata kidogo, maana mnakua mnaweka agano!!

Kuna mwanamke alitaka kuweka kiapo cha damu na mimi, nilitoka nduki vibaya sana hadi nikapitiliza mtaa!!
mkuuu hatari sanaa hiyooo,, weka mbali na watoto
 
Kiapo cha damu si kizuri hata kidogo, maana mnakua mnaweka agano!!

Kuna mwanamke alitaka kuweka kiapo cha damu na mimi, nilitoka nduki vibaya sana hadi nikapitiliza mtaa!!
Acha uoga. Mkuu!
 
Hicho kiapo babkubwa aiseee.

Ila siku zote naamini kupenda ni kitu kingine bana sababu kuna baadhi mambo huwa yanafanyika hadi unakaa na kujiuliza mara mbili mbili na usipate jibu ya kilichotokea.
Acha tu hapa nilipo kuna mtu nampenda mpaka nahisi sio akili yangu...... Mapenzi yana nguvu sana hawa wanaosema hawawezi kuweka kiapo hawajashikwa
 
Hicho kiapo babkubwa aiseee.

Ila siku zote naamini kupenda ni kitu kingine bana sababu kuna baadhi mambo huwa yanafanyika hadi unakaa na kujiuliza mara mbili mbili na usipate jibu ya kilichotokea.
mkuuu , ngoja na mm nimshaushi jamaa tule kiapo. daaar
 
Acha tu hapa nilipo kuna mtu nampenda mpaka nahisi sio akili yangu...... Mapenzi yana nguvu sana hawa wanaosema hawawezi kuweka kiapo hawajashikwa

Umeonaeeee. Na ile nguvu ndio inayofanya vingi vifanyike pasi kudhamiria.
 
Kuna binti mmoja wa Singapore nilimpata mwaka 2011 akataka tufanye hicho kiapo, sikukataa, but siku alipokuja gheto nikamwambia nitaapaje wakati sijaonja! Ile kunipa tu nikampa kiΔ¶π÷×¢€¥ cha kufa mtu, na mambo ya kiapo yakaishia hapo. Ilikuwa kila weekend never miss lazima aje kula mkuyenge
 
Back
Top Bottom