Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Siwezi toa damu yangu kwa makusudi labda itokee kwa bahati mbaya aisee Mungu atusamehee
 
Duuuu! Watu mnaroho ya chuma ingawa kikiliwa na kutu kinateketea ila sio kwa kiapo hicho kwangu mimi siwezi
 
Aisee kuna wanaume wajinga yan kisa mwanamke ndo umwage damu shenzi kabisa
Damu mbona Kitu Kidogo Mkuu wengine Mbona wanajiua kabisa,mapenzi kitu. Kingine Mkuu!
 
We bwege kweli, kama wewe uliweza kuigiza Mapenzi ya kwenye Sinema, unadhani humu kila mtu ni msanii..!
 
Back
Top Bottom