Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Mkikosa hela ya kuhonga mnajitoa damu? Upcoming Bongo artist umetisha! Tukutane jioni pale kwa baa ya Irene Uwoya Sinza karibu na Wanyama Hotel
 
Mkikosa hela ya kuhonga mnajitoa damu? Upcoming Bongo artist umetisha! Tukutane jioni pale kwa baa ya Irene Uwoya Sinza karibu na Wanyama Hotel
Mkuu nani kakosa pesa Ya kuhonga?,kwani kuna Sehemu Nimesema Aliniomba pesa nikakosa ya kumpa?ulichokisema Hapo Haki husiani na nilichokieleza au unatafuta Kiki mkuu?
 
Habari wanajf!

Kama kichwa cha habari. Kinavyojieleza,hiki ni kisa kilichonitokea mwaka 2012,
Kipindi hicho. nikiwa. nafanya. Kazi kwenye. Kampuni ya ujenzi,
Siku. Mmoja Bosi wangu. Alinituma nikanunue vifaa. Flani vya kazi,nami nikatii agizo la bosi wangu. nakuelekea kwenye maduka. ya vifaa vya ujenzi,

Nilifika kwenye Duka moja hivi ambalo lilikuwa nikubwa sana,
Nilikutana. na Binti mmoja wa kiarabu ambaye ndio alikuwa bosi. Pale,nakumbuka baada ya kumuona yule binti moyo wangu
Ulistuka "paap"na mapigo ya moyo Ghafla yaliongezeka kwa. Kasi ya 4G,kutokana. na uzuri na mvuto. Aliokuwa nao,lakini yule Binti alinikaribisha vyema kwa
Kunichangamkia,ndipo nilipo pata cofidence ya kuzungumzia nae vizuri,Akanihudumia pindi nataka kuondoka. nikamuomba. number yake ya simu kwa ajili ya issue
Za kibiashara akanipatia!

Tangu siku huyo. Nilivutiwa na kumpenda. Sana huyo. Binti. niliapa lazima. ni mpate kwa namna yoyote. Ile,tuliendeleza uhusiano. wa kibiashara na mawasiliano. Ya karibu,ndipo
Siku. Moja nikaishinda hofu,
Nikamwambia ukweli. ni kiasi. gani nampenda na itapendeza zaidi. Tukiwa pamoja,lakini yule
Binti alinijibu tayari. ana mchumba. ake ambae ni binadamu. Yake yupo Oman
Kwa hiyo hawezi Kuwa na mimi
Nilimshawishi. na kumbembeleza sana lakini aliendelea Kunikatalia.

Siku. Mmoja nilimfuata hapo Dukani kwao,nikamkumbusha tena nampenda,akaniuliza "nitaaminije kama unanipenda kweli?,maana nyinyi wanaume ni waongo sana!"kipindi hicho tunazungumza alikuwa ana menya matunda,baada ya kuniuliza hilo swali,nikamuomba. Kisu chake alichoshika mkononi,
Akanipatia ndipo nilipoamua kujikata kidogo kwenye mkono wangu,
Damu zikaanza kunitoka,yeye akabaki. Anashaangaa tu kwa hofu,mimi nikaamua kuchovya
Ile Damu na kidole kisha nikaandika maneno haya kwenye meza yake kwa damu yangu" Niamini nakupenda kweli",huku
Damu zikiendelea kunitoka
nikaanza kujitetemesha mwili na kujifanya kusikia kizunguzungu,yule binti
Alichanganyikiwa,akakichukua kile. Kisu akakiweka mbali na kuanza kunipa. Huduma ya kwanza. Ilikuzuia damu. Isiendelee. Kutoka,baada ya mda. Mfupi damu ikakatika ikawa haitoki nikarudi katika hali yangu Ya kawaida. nikaamua kwenda zangu nyumbani kupumzika,
Zikapita kama siku tatu yule Binti akanipigia simu anataka kunitembelea kuona naendeleaje
Nikamkaribisha kwa. Mikono miwili baada ya mda mfupi akawasili Gheto kwangu napoishi huku
Akiwa amebebelea mazaga Kibao,
Tukapiga story mara ghafla tukajikuta tumezama Kwenye bahari ya mahaba,ndio ukawa
Mwanzo wa mapenzi. Yetu,mpaka
Baadae alipokuja kusafiri kwenda. Oman ndipo tukapoteana mpaka leo,nadhani atakuwa tayari. Ameshaolewa. Huko.


Hicho nikiapo changu cha Damu kwa aliyekuwa mpenzi wangu,je wewe uliapa kiapo gani kwa mpenzi wako ili akuamini. Kuwa unampenda. Kweli?
Kiapo cha damu au ulijijeruhi ili uoneshe kua unampenda I don't knw kumtamani. Binafsi cjaona hilo tendo kama linaqualify kuitwa kiapo.
 
Kuna binti mmoja wa Singapore nilimpata mwaka 2011 akataka tufanye hicho kiapo, sikukataa, but siku alipokuja gheto nikamwambia nitaapaje wakati sijaonja! Ile kunipa tu nikampa kiΔ¶π÷×¢€¥ cha kufa mtu, na mambo ya kiapo yakaishia hapo. Ilikuwa kila weekend never miss lazima aje kula mkuyenge
Singapore=Singida?
 
Back
Top Bottom