Mi nilijua unasema ulimtoa damu wakati unam'bandua.....kumbe ni huo ushenzi

imebid nicheke tuWazazi wangu waliapa kwa damu,mama akawa wa kwanza kuvunja kiapo,kinachompata sasa hivi, usitamani.Viapo vya damu sio vizuri
chuma cha mjerumani kimekaza !Kweli Hii DUNIA kuna RISK TAKER.
Huo ujinga wa kiapo cha damu siwezi Fanya ata kama nakupenda kama PESA.
Mwambie aangalie avatar yako, Simba kachanganyikiwa hajui 'akojolee' miti au nyasi !Mkuu vipi huamini???
Mission ni kukubaliwa a kumpata, na sio kupendwa. Wanawake hawapendagi.Nitaaminije na yeye kama ananipenda kwa dhati??
.....kiapo halisi kina 'duwa' yake na kinaitwa 'kula yamini' na waswahili. Kikifuata taratibu zake, na mmoja akaamua kusaliti, basi nilazima adhurike.Mbona mimi sijaona kama kuna kiapo chochote hapo zaidi ya kujikatakata na visu kisanii ili ujitwalie binti wa kimanga kiapo ni kitu kingine kabisa